Laki 2 kwa Wiki Freelancing Skill (No Experience Needed with Prove)

hapa ndipo naona uzi wako ni wa kipuuzi, na wewe ni motivesheni spika, jua kwamba hakuna kitu rahisi
You're an expert in IoT but that internet hasn't helped you with anything rather than limiting your thinking capacity my brother, BTW JF wame-delete some parts za hii thread I cannot blame you.
 
Mie pia nimepitia magumu na hio FIVVER nikaona bora niwe freelancer wa tigo tu 😎
 
Ubarikiwe Sanaaaa mkuu
 

Nzuri hii
 
Somo zuri tupe ELIMU zaidi Mkuu
 
Itakuwa umekuwa kama yule jamaa alietumbuliwa kwa kuwa karibu na ex DC wa kisarawe. Kaa mbali na goods za mod
Hahahahah inaonekana kuna shida kama hio😅 wacha niachane na mavitu ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…