Laki 2 kwa Wiki Freelancing Skill (No Experience Needed with Prove)

Mkuu najua uzi ni wa mwaka jana tayari lakini napenda sana kujifunza online biznez kama hutojary naomba niwe mwanafunzi wako ata kama ni kw njia ya watsap
Namba yangu ni 0764161048
Nipo Dar res salaam
 
huu ndo ukweli mchungu freelencer siyo kazi ya kitoto kama anavyoaminisha watu,kupata hyo kazi syo kitoto mzee,yani mtu aache watu wenye feedback 1000 akufate wew usiye na hata 1?
 
huu ndo ukweli mchungu freelencer siyo kazi ya kitoto kama anavyoaminisha watu,kupata hyo kazi syo kitoto mzee,yani mtu aache watu wenye feedback 1000 akufate wew usiye na hata 1?
Siyo rahisi ila pia you have to find your own angle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…