nver gve up
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 247
- 118
Jaman nipata wazo la biashar kuwa gunia moja la alizeti ni tsh 30000 kutoka kijijin nataka kukamua mafuta na kwa gunia ni 25 lita sasa mimi nataka kusafirsha either dom or dar je nta pata wateja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gunia elfu 30Jaman nipata wazo la biashar kuwa gunia moja la alizeti ni tsh 30000 kutoka kijijin nataka kukamua mafuta na kwa gunia ni 25 lita sasa mimi nataka kusafirsha either dom or dar je nta pata wateja
singida mkuuJaman nipata wazo la biashar kuwa gunia moja la alizeti ni tsh 30000 kutoka kijijin nataka kukamua mafuta na kwa gunia ni 25 lita sasa mimi nataka kusafirsha either dom or dar je nta pata wateja
ki vp mkuuutapata,mafuta bado hayajakidhi mahitaji ya soko
lita20 hadi 25Wazo zuri na mimi kama hautojari nipe mchanganuo nataka kuweka refinery mkuu. Je gunia moja linatoa lita ngapi?
singida mkuu wilaya manyon ila vijijin mkuuGunia elfu 30
Ni mkoa gani wenye bei hiyo kwa sasa?
Pia wilaya. Ili tukupe ushauri mzuri kwa kukadiria gharama za usafirishaji to dar /dom
Wewe unanulia wapi?lita20 hadi 25
mashamban i mean kijijin singidaWewe unanulia wapi?
singida vijijinWewe unanulia wapi?