Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

Bibi ushungi kaelekeza hivyo
 
Kila kesi tu kujichanganya ni kawaida inategemeana mashahidi wanauelewa kiasi gani! Wapo mashahidi wanaoweza kushuhudia tukio mojakwamoja lakin wanapofika kizimbani kila point inapotea! Kwa hiyo usishangae kuona hayo hivi sasa
 
Kwa uandishi huu hujawahi kuwa wakili.
 
Wacha ifike mwisho tuone
 
Hii nchi ukiwa Shuleni utafundishwa vitu kulingana na misingi ilivyo sasa maliza shule uje uwe mtumishi wa sirikali ndio utajua kuwa elimu uliyosoma sharti uiweke kapuni kwa maslahi ya sirikali. Hivi umeshawahi jiuliza hata hawa trafiki wanapokuwa kazini kuongoza magari kwa mujibu wa sheria halafu anatokea kiongoz sijui anawahi wapi huko yawezakuwa hata ni guest labda lakini anakuja pita tu kwenye mataa trafiki akimsimamisha anaambiwa "hivi unanijua me ni nani"..... Hivi unaipenda kazi YAKO [emoji23][emoji23].... Trafki ananywea

Hata hawa mawakili & majaji wa court yawezekana ni hivyo hivyo wanapitia.

Ndio maana mimi nishasemaga wenzetu wazungu wametuacha mbali sana kwenye haya mambo. Bado tuna safari ndefu sanaaa.
 
Hiyo ipo kuanzia shuleni!
Kwahiyo kit ulichonauhakika nacho kwa ushahidi wa kutosha unahitaji makabrasha wakat unajua uhakika wa unalolifanya unauhakika nalo?

Mashahidi wote wakiwemo mawakili wao wanajichangnya mwisho wao ndio huwo wakubebwa ni jaji.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Jaji kila siku anaghairisha kesi kwasbabu ya huyo unaesema hanalolote.

Wewe sheria unaijua?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi wanaenda na ni wapi wametoka, maaafisa wa mahakama nao inaonekana wameingia kwenye mambo haya.
ni kweli mkuu, hii kesi haina mashiko - ni kutumia kodi za walahoi na usumbufu kwa mambo ambayo hayana tija kwa taifa. Yaani CCM mmeiba kura mchana kweupe - watu wakabakia kimya - kama haitoshi tisa kumi mkaona bila kumfunga mwenyekiti wa chama kikubwa na upinzani hamtakuwa mmefaidi.

Sasa ushauri ni mwepesi kabisa ni kwamba hii kesi haitawafikisha pale mnapotaka zaidi ya kupata aibu na kuchekwa na mataifa.
 
Sasa kama utaulizwa chasis number ya gari au Control number ya muamala fulani utaitoa kichwani?

Subiri majibu ya jaji leo!
Naona Jaji hajapata majibu. Nadhani majibu siyo rahisi sana, "anapitia vizuri hoja" za pande zote mbili. Kazi kweli kweli.
 
Yaani kwa ushahidi uliotolewa mpaka leo inatakiwa mbowe aachiwe tu maana mashahidi wanaelezea ukamataji tu badala ya huo ugaidi
 
Kweni ungeficha ujinga wako,ungeathirika na nini?
 
Kweli ingepunguza gharama za uendeshaji wa hii kesi.
 
Hivi ulikuwa "marehemu" Mbowe alipofungwa kwa kesi ya Akwilina? Ulisimuliwa mahakama ya Rufaa ilisema nini? Au ile kesi haikufika kwa DPP?
 
Unapaswa kuongea na facts vile vile kwani hizo kesi nyingine za dpp ni sawa na hii au nyege za makalio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…