Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #21
[MENTION]zumbemkuu[/MENTION] inatisha au sasa yatupa matrumaini?TRUVADA .........inatisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[MENTION]zumbemkuu[/MENTION] inatisha au sasa yatupa matrumaini?TRUVADA .........inatisha.
Mkuu kuipata hiyo TRUVADA kwetu sisi wa dunia ya tatu itakuwa bado ni ndoto! Dozi moja ni zaidi ya Tshs.Milioni, nami naishi chini ya dola moja kwa siku!
TRUVADA iko sokoni ila zamani ilikuwa inamezwa na waathrika sasa imepandishwa chati ni kwaajili ya wale ambao wako kwenye mazingira hatarishi pia............Sometimes
Tulivyo waoga wa kupima yaweza kutupata yalitadharishwa hapa.
[url]http://www.nytimes.com/2012/05/15/health/policy/taking-truvada-to-prevent-hiv-also-comes-with-risks.html?ref=foodanddrugadmi nistration[/URL].
Sasa ikitokea sijui itakuwaje?.
[MENTION]"TRUVADA kwani ni kitu gani kama siyo kinga ya nusunusu?"
Hapa mkuu sijaelewa vizuri inakinga, inapunguza makali au inatibu?
Mbeya wanaitumia kulishia kitimoto so wa pande izo mtakuwa mshapata kinga ya kutosha
FirstLady1 ni dawa ya kinga ya vvu ambayo lazima mtumiaje ameze kila siku kwa maisha yake yote bila ya kukosa hata siku moja............Mwe malenga wetu hata sielewi hiyo Truvuda ni lugha gani?
samora10 hapo wanaitumia vibaya maana sasa ni kwa ajili ya wale ambao siyo waathirika ili wasiathirike......Duh
Mbona kama hatujiamini Rutashubanyuma...........si tumepewa rungu sasa?.......... HIV na iwe historia basi..........
Madhara yake wayajua? ngoja nikubandikie hapa ujionee.......................
Side effects may be one reason: The drug can cause stomach upset in the first weeks it is taken. Patients must also be monitored for kidney problems and bone thinning, rare but potentially serious complications.
Perhaps the most serious concern is that some who take the drug will assume they no longer need condoms. But condoms are still necessary, because Truvada is not 100 percent effective. If people take the drug inconsistently and also skip condoms, they may wind up at even greater risk than they were before Truvada came along.
At the committee meeting on Thursday, one young man said he and his friends would not abandon condoms, because they still had concerns about syphilis, gonorrhea and other sexually transmitted infections.
Nop! Truvada has been there mkuu.. siku nyingi tu imekua ikitumika kama mojawapo ya combination drugs kwa dawa za kurefusha maisha kwa waathirika..
TRUVADA is for use in combination with other HIV-1 medicines to treat HIV-1 infection in adults.
Rutashubanyuma kumbe ndo hiyo duh:eek2:FirstLady1 ni dawa ya kinga ya vvu ambayo lazima mtumiaje ameze kila siku kwa maisha yake yote bila ya kukosa hata siku moja............
Rutashubanyuma kumbe ndo hiyo duh![]()
Okada kama ikitumika vizuri haina shida lakini kumeza vidonge maisha yako yote kisa unataka kujifurahisha tu kwa kumega hapahapa na pale siyo busara hata chembe..........