Lakini hii TRUVADA sasa yamtia kiwewe na kumletea kifaduro……….

Truvada zimejaa tele mjini kaka.. sema ndio hivyo wanapewa wale walioathirika tu tena bure kwa msaada wa watu wa marekani

samora10 hapo wanaitumia vibaya maana sasa ni kwa ajili ya wale ambao siyo waathirika ili wasiathirike......Duh
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuipata hiyo TRUVADA kwetu sisi wa dunia ya tatu itakuwa bado ni ndoto! Dozi moja ni zaidi ya Tshs.Milioni, nami naishi chini ya dola moja kwa siku!

Sometimes
TRUVADA iko sokoni ila zamani ilikuwa inamezwa na waathrika sasa imepandishwa chati ni kwaajili ya wale ambao wako kwenye mazingira hatarishi pia............
 
Last edited by a moderator:
"TRUVADA kwani ni kitu gani kama siyo kinga ya nusunusu?"
Hapa mkuu sijaelewa vizuri inakinga, inapunguza makali au inatibu?
[MENTION]
Kyaiyembe[/MENTION] kwa wale ambao tayari wanatumia ARVs na hawazitumii vizuri au kwa yale matumizi holela kinga yao huteremka hadi 44% kwa wale ambao kamwe hawajawahi kutumia ARVs au wamekuwa wakizitumia ipasavyo kinga yao hupanda hadi 90% kwa hiyo...............as happy we are about this new invention it is not a magiz bullet, at all there is still a chance we get hit by vvu..........................
 
Mbeya wanaitumia kulishia kitimoto so wa pande izo mtakuwa mshapata kinga ya kutosha
 
Mbeya wanaitumia kulishia kitimoto so wa pande izo mtakuwa mshapata kinga ya kutosha

Njowepo kama hii ni kweli basi ni mbaya sana kwa sababu ya kuwaletea walaji sugu ya kutotibiwewa na madawa kutokana na viwango wanvyolishwa kuwa chini au zaidi ya maelekeo ya madakitari......
 
Last edited by a moderator:
Mwe malenga wetu hata sielewi hiyo Truvuda ni lugha gani?
FirstLady1 ni dawa ya kinga ya vvu ambayo lazima mtumiaje ameze kila siku kwa maisha yake yote bila ya kukosa hata siku moja............
 
Last edited by a moderator:
TRUVADA is for use in combination with other HIV-1 medicines to treat HIV-1 infection in adults.

Shukrani Ndallo kwa kusambaza elimu hapa ya afya ya jamii
 
Last edited by a moderator:
samora10 hapo wanaitumia vibaya maana sasa ni kwa ajili ya wale ambao siyo waathirika ili wasiathirike......Duh


Nop! Truvada has been there mkuu.. siku nyingi tu imekua ikitumika kama mojawapo ya combination drugs kwa dawa za kurefusha maisha kwa waathirika..
 
Mh.......... Jamani!, naikumbuka Loriondo.

Kyaiyembe Yule babu wa Loliondo keshaonekana kuwa ni tapeli watu wanameza mataputapu yake lakini kibanio kipo palepale........lol
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama hatujiamini Rutashubanyuma...........si tumepewa rungu sasa?.......... HIV na iwe historia basi..........

lemonade do you trust TRUVADA?

TRUVADA is not a magic bullet, at all...............bado hata ukiitumia utahitaji condoms kwa sababu yenyewe siyo 100% kinga na bado kuna ovarian cancer, hepatitis all types, kaswende na gono kama hutumii kondomu.............and other STDs etc...........life is not easier for quickies lovers..........
 
Nop! Truvada has been there mkuu.. siku nyingi tu imekua ikitumika kama mojawapo ya combination drugs kwa dawa za kurefusha maisha kwa waathirika..

samora10 ni kweli usemacho lakini wengi hawafuati masharti yake kwa sababu ya stomach upset................na matokeo yake usugu wake umeanza kujitokeza kwa watumiaji na kwa vvu yenyewe imekuwa haisikii dawa kama sikio la kufa vile................huu ni mjadala mrefu sana hapa hatuwezi kuumaliza tunachoweza kufanya ni kuupapasa tu
 
Last edited by a moderator:
This is a disaster if not catastrophe

YANGO na YANNGO itarudi upya kabisa....

Okada kama ikitumika vizuri haina shida lakini kumeza vidonge maisha yako yote kisa unataka kujifurahisha tu kwa kumega hapahapa na pale siyo busara hata chembe..........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…