Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,655
lemonade do you trust TRUVADA?
TRUVADA is not a magic bullet, at all...............bado hata ukiitumia utahitaji condoms kwa sababu yenyewe siyo 100% kinga na bado kuna ovarian cancer, hepatitis all types, kaswende na gono kama hutumii kondomu.............otehr std etc...........life is not easier for quickies lovers..........
TRUVADA is not a magic bullet, at all...............bado hata ukiitumia utahitaji condoms kwa sababu yenyewe siyo 100% kinga
ujue Rutta,hivi ARV's tushukuru zipo na zinasaidia kurefusha maisha,lakini on the other hand wapo wanaozitumia,matokeo yake wananenepa na kunawiri na kisha kuusambaza hovyo,tusali tu na kuomba.Kyaiyembe kwa wale ambao tayari wanatumia ARVs na hawazitumii vizuri au kwa yale matumizi holela kinga yao huteremka hadi 44% kwa wale ambao kamwe hawajawahi kutumia ARVs au wamekuwa wakizitumia ipasavyo kinga yao hupanda hadi 90% kwa hiyo...............as happy we are about this new invention it is not a magiz bullet, at all there is still a chance we get hit by vvu..........................
ujue Rutta,hivi ARV's tushukuru zipo na zinasaidia kurefusha maisha,lakini on the other hand wapo wanaozitumia,matokeo yake wananenepa na kunawiri na kisha kuusambaza hovyo,tusali tu na kuomba.
bwahahaha, sasa hivi tunagonga kavu bana, dawa si imepatikana?Mbona kama hatujiamini Rutashubanyuma...........si tumepewa rungu sasa?.......... HIV na iwe historia basi..........
ujue Rutta,hivi ARV's tushukuru zipo na zinasaidia kurefusha maisha,lakini on the other hand wapo wanaozitumia,matokeo yake wananenepa na kunawiri na kisha kuusambaza hovyo,tusali tu na kuomba.
Mkuu thanx for the note, kama bado theory za kwamba AIDS ilitengenezwa maabara na hao wazungu kwa ajili ya kupunguza ongezeko la watu haswa nchi za dunia ya ya tatu zinazagaa..sitakaa niamini kwamba kinga au tiba ya kweli itatoka kwao kwa maana lengo lao ni endelevu.
Bila ya sisi wenyewe kujizatiti kukabiliana nalo kwa njia zozote zile iwe kwa kutafuta kinga au tiba..sitegemei Mzungu afanye kwa niaba yetu..!
Mapambano dhidi ya UKIMWI yaendelee daima..Tutaweza kuutokomeza tukiwa na nia moja dhabiti!