Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #61
tayari tumeshakufa tumebakia kuzikwa,truvada yenyewe bei kubwa watanunua wakubwa tu sie huku chini hata kwa babu kwa sh 500 tulishidwa kwenda.ivi babu wa loliondo yupo jamani na kakikombe kanaendelea au kasitisha huduma?

Bishanga, inakuhu wakiusambaza?
yawezekana na wewe ni mmoja wa wanaousambaza. Ukiangalia sehemu kubwa ya wanaousambaza wametarget vijana. Sasa sisi vijana unadhani tutapona? Maana hata ukiwa kwenye ndoa na mwaminifu watarubuni mke wako tu! Tuombe tu tuepushwe na tamaa za dunia hii