LAKINI, hiyo shombo amletea nani?

LAKINI, hiyo shombo amletea nani?

Ruta,Hilo nalo neno...unanifanya nishtuke ukirejea home nianze kunusa nusa isjekua unanitupia vijembe bibi jinga mali yako inaliwa mie nimelala tuu.

ama kweli fumbo mfumbie.............................lakini mwerevu kulingamua.........
 
RUTA ,wewe mswahili safi ,labda alifanya kwa dhamira ,kwan nan asiye jua kuwa shombo n MAKRUKH, akaona nataka nijuilikane kama leo nimechoea maneno ya huku kwetu kisiwani

Arghhhhhhhhhhhh Wahida huoni inakera......hata kama ni kwa makusudi.......................aende kujimwagia maji hata kama ya baridi ili mradi tu asiwe nayo..........
 
loh hii shombo unamletea nani?

Mmmmmmh ngereja akirudisha umeme nitarudi.....

Ngeleja anafutwa kazi leo na waajiri wake kwa hiyo rudi tu.....................hana shari tena....................ingawaje mgao ni kama kazi......
 
Mkuu salute! Nimeipenda sana post yako,nimekugongea ka like ila natumia tochi

Ngoshwe uko wapi? Salaamu za kheri za Typhoid zisikupite............
 
Shombo ni hili.... na wanaonusishwa ni hawa

Questt usihofu mwaga radhi hapa...............this is JF where we dare to talk loud and clear...........
 
wanaojisahau na kurudi na shombo majumbani wafunguke tusikia miziki yao kwa wale wanaowaringishi hizo shombo!

wengine Kayla hutumia shombo kama nafasi ya kufikisha ujumbe kuwa wasidharauliwe kuruka na kupora vya wengineo.........................makubwa hayo..........
 
Pilau ale yeye tena kwa kificho huku akjijua ni mwizi tu.............akiwa kwenye chumba alichokishindilia komeo tena la viro ili asije kubambwa na mwenye mlo wake.............baada ya uporaji wa pilau ya watu aja mtaani na huanza kutubehulia.........na kuacha mafuta ya pilau na vipunjepunje vyake mdomoni.......

Hivi, hiyo shombo amletea nani?

Mwingine ametoka kumtafuna kuku wa watu khalafu kwa kasi ya ajabu hurukia kitandani kwa mkewe na kumshulizia manukato yatokanayo na siagi ya samli aliyopikiwa kuku wa watu aliyemtafuna ............kwa kufanya hivyo ni mithali ya kumtambia mkewe ya kuwa amejinoma kuku wa watu..........lakini swali ni

Hivi, hiyo shombo amletea nani?

Kwa nini asiende bafuni akaoga na kutakata na abakie akichekwa na dhamira yake badala ya kuwaadhibu waliokuwamo na wasio kuwamo..........kama ile hadithi ya panya aliyekusudiwa kuuawa na mtego lakini mtego ukamnasa nyoka ambaye mwenye nyumba aliposikia umenasa akawahi kummalizia panya gizani na matokeo yake akaumwa na nyoka mwenye hasira na kufa hapohapo.........matangani ng'ombe na kuku walichinjwa kumsindikiza mwendazake............na hivyo kukamilisha maono ya panya ya kuwa mtego ulomlenga yeye wataingia waliomo na wasiokuwamo........

Hivi walakini...........hiyo shombo amletea nani?

Mkuu, hii lugha ya Makwaya wa kuhenga sijaielewa asee.., would you pliiiiz elaborate?:doh:
 
umeharibu kunilinganisha na Makwaia...................lugha nzito yenye manjari kama hii ataitoa wapi..................you have to be me to do it the way I do it............
 
hahahahaa.., Apologies asee, mi nilijua nakusifia kumbe naharibu..!! Nashukuru nimeelewa, ila nimetumia muda na nguvu nyingi sana asee..:yo:
 
Pilau ale yeye tena kwa kificho huku akjijua ni mwizi tu.............akiwa kwenye chumba alichokishindilia komeo tena la viro ili asije kubambwa na mwenye mlo wake.............baada ya uporaji wa pilau ya watu aja mtaani na huanza kutubehulia.........na kuacha mafuta ya pilau na vipunjepunje vyake mdomoni.......

Hivi, hiyo shombo amletea nani?

Mwingine ametoka kumtafuna kuku wa watu khalafu kwa kasi ya ajabu hurukia kitandani kwa mkewe na kumshulizia manukato yatokanayo na siagi ya samli aliyopikiwa kuku wa watu aliyemtafuna ............kwa kufanya hivyo ni mithali ya kumtambia mkewe ya kuwa amejinoma kuku wa watu..........lakini swali ni

Hivi, hiyo shombo amletea nani?

Kwa nini asiende bafuni akaoga na kutakata na abakie akichekwa na dhamira yake badala ya kuwaadhibu waliokuwamo na wasio kuwamo..........kama ile hadithi ya panya aliyekusudiwa kuuawa na mtego lakini mtego ukamnasa nyoka ambaye mwenye nyumba aliposikia umenasa akawahi kummalizia panya gizani na matokeo yake akaumwa na nyoka mwenye hasira na kufa hapohapo.........matangani ng'ombe na kuku walichinjwa kumsindikiza mwendazake............na hivyo kukamilisha maono ya panya ya kuwa mtego ulomlenga yeye wataingia waliomo na wasiokuwamo........

Hivi walakini...........hiyo shombo amletea nani?

Ruta, you are deep bro. any how: Kaka tumeambiwa akutendendae mtende, mche asiekutenda. Huyu baradhuli mwache siku zake ni Arobaini.
 
hahahahaa.., Apologies asee, mi nilijua nakusifia kumbe naharibu..!! Nashukuru nimeelewa, ila nimetumia muda na nguvu nyingi sana asee..:yo:

Mbimbinho...........apologies accepted wholeheartedly..............
 
Last edited by a moderator:
Ruta, you are deep bro. any how: Kaka tumeambiwa akutendendae mtende, mche asiekutenda. Huyu baradhuli mwache siku zake ni Arobaini.

Mziba miaka yote ile umepotelea wapi ndugu yangu......................nilifikiri umetuhama LOL
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom