Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
Uwepo wa polisi, mahakama, jeshi na majela, ni ushahidi kwamba ubaya upo. Lakini je ubaya unatoka wapi? Kwa shetani?
Ukweli ni kwamba ubaya tumeutengeneza wenyewe na tunauwezo wa kuuondoa.
Au tunadhani hii ni life style na sio problem? Do you think tumeumbiwa ubaya?
Unadhani ni sahihi kila taifa kuwa na polisi, jeshi, jela na mahakama? Haya yote yanakuja si sababu ya dhambi zetu? Na ndio maana Amani hamna. Kwanini ufikirie kutengeneza silaha ili umuue binadamu mwenzako?
Kwa kutokutumia akili zetu vyema au kwa kuzitumia vibaya tunatengeneza ubaya.