Lakini kuna mbinu nimeigundua, ambayo ukiitumia inaweza kukusaidia

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Hamna Kazi ngumu kama Kumtokea Demu Mpya
ambaye hamjawahi kukutana duniani wala
hamjuani...Lakini kuna Mbinu nimeigundua ambayo
ukiitumia itakusaidia kupunguza RESISTANCE!
Kama Demu ni MZURI na anajijua kwamba yeye ni
mzuri basi We Msifie vile vitu ambavyo unajua ndo Karata Zake za Turufu..Ukiona demu anajisiliba sana
Malipustiki jua anapenda Lips zake..SIFIA HIZOHIZO!
Ukiona anavaa sana Kimini jua anaamini na
anaipenda Miguu yake SIFIA NGOKO!!
Kasheshe inakuja wale Mademu wenye Uzuri wa Tia
Maji Tia Maji Bin Asha Ngedere,kwanza ni wasumbufu bila sababu full kujiona maQueen, inabidi uwe na
Mbinu Mbadala... Mwili Mzima anaweza akawa na
KITU KIMOJA TU kizuri,vingine vyote NEHI... Usikosee
ukamsifia kile anachojijua KABARIKIWA... Kwa mfano
kama asha ngedere kabahatisha kuwa na macho
mazuri,USIMSIFIE MACHO..Ukimsifia Macho wakati anajijua anayo,utakoma jibu lake
"Dada una Macho Mazuri"
"NAJUA NNA MACHO, NA UZURI NAO UNACHANGIA
MTOTO WA KITANGA KUNGU MUHIMU, UNA LINGINE
KAKA?? NNAWAHI MISHE ZANGU !!"
Khah...Unakosa hadi pozi!! Ila kama ana mtumbo wa Bia na Chips unaning'inia, akitembea na tumbo nalo linanesanesa kama biti ya
Shikorobo SIFIA MTUMBO WAKE!
"Dada napenda Tumbo lako,yaani unavyotembea
napenda linavyotikisika So sexy yaani"
UTASIKIA JIBU LAKE; "Woooow jamani we kakaaa,Asanteee sijui
umelionaje, thanks so much for the compliment UR
SUCH A DAAAARLIIIING,Namba yangu ni TIGO YA
15....Mchezo kwisha!
 
Mkuu,naona umewavalia kweli njuga hawa viumbe ambao hawajawahi kujielewa wanataka nini
 
STUNTER Hili jukwaa lako sasa hivi maana dada zetu hawapumui
 
Dah jamaa una mbinu za kizamani sana za kutokea demu.
Siku hizi business card na ATM then unaenda na kulala.
Utamsifia ukishakula mzigo...
Inategemea ntu na ntu
 
hahaaahaaaaa mbavu zangu bora umesema tuanze kujihadhari na hizo gia
 
Kiurahisi rahisi unajichukulia dem mpya! Ngoja nijaribu.
 
robering is my best way never ever i trust it...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…