Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Mabibi na Mabwana
kwa uzoefu wa miaka mingi, nimegundua kwamba katika tasnia ya kumtafuta mweza kimapenzi/kutongoza na kutongozwa, kuna makundi mawili makuu kwa upande wa hawa kina dada zetu.
Sasa basi, kwa uzoefu wangu, nimegundua watu wa ivyo wanachukua muda sana kupata mwenza, kupata mtoto, na mara nyingi huishia kuwa single hasa kwa kipindi hiki cha utandawazi ambapo namna za kutafuta na kupata wenza zimekuwa nyingi, including the internet, so uwezekano wa mwanaume kuchapa mwendo kama 'anazungushwa' ni mkubwa sana
Sijui kama wenzangu mna ze same thought na experience, ama ni mawazo yangu 'mabaya' tu, au kama kuna second thought kwenye hili?
Kina dada, mnalionaje hili, kuna namna ya kubadilika ama ndo ivo nature?:bump:
kwa uzoefu wa miaka mingi, nimegundua kwamba katika tasnia ya kumtafuta mweza kimapenzi/kutongoza na kutongozwa, kuna makundi mawili makuu kwa upande wa hawa kina dada zetu.
- La kwanza, niseme ni wale ambao ni kina dada 'mamboleo' (liberals).....hawa, huwa hawana longo longo ya kukuzungusha na kukupa probation na matimeline , including kukupa mitihani mbali mbali kujua lengo lako hasa ni nini (hivi lengo la mwanaume yeyote si linafahamikaga?)
- Hawa, ni rahisi zaidi kuelewana, kukubaliana na kuachana inapobidi, yaani wakati mwingine no strings attached kabisaa...wanajua what you need in the first place...easy going.
- Wengine sasa, ni wale wahafidhina....hawa watafanya kinyume kabisa na hayo hapo kwenye namba moja,,,,yaani kukuzungusha miezi 6 hadi mwaka , kwake sio shida kabisa, probation, na hata kama akija kukubalia basi ni kwa masharti mazito mazito na vitu kama ivyo, hawako wawazi ni nini hasa wanataka kwenye mahusiano, ili mradi ni ile kwamba "mimi nina maadili nimelelewa kwetu siwezi kukubali kirahisi rahisi" and the like