Hapa nimefanya kosa gani Mkubwa wangu. Mimi huwezi kuniambia Lakred amekuwa Bora kuliko Manula Kwa Mechi 2 tu Hadi mnafikia kumtaka afungashe vilago nikakubali.Hujuagi kujificha mzee wa neutral, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachekesha sanaaa.
Hebu nipe kosa moja la Manula Kati ya Yale magoli matano ya Yanga!Unatakiwa ujibu je manura hajawahi kufanya makosa yakaigharimu timu?
Hivi yale magoli aliyo fungwa siku ya Yanga ni magoli anayo takiwa kufungwa kipa anaye jiita bora?
Ayobu ni kipa mzuri alicho kifanya ni makosa ambayo yanaweza kufanywa na kipa yeyote bila kujali ubora wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe kasiriki tu,, ila Ayoub hamna kipa paleHuyo Diara hajawahi kufungwa goli la kizembe?
Si juzi tu kafungwa goli la kizembe na mtibwa au sio yeye?
Lile goli lilitokana na yeye kuteleza kitu ambacho kinaweza kumtokea binadamu yeyote acheni usenge.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app