Lakred wewe ni yule yule

Lakred wewe ni yule yule

Hujuagi kujificha mzee wa neutral, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachekesha sanaaa.
Hapa nimefanya kosa gani Mkubwa wangu. Mimi huwezi kuniambia Lakred amekuwa Bora kuliko Manula Kwa Mechi 2 tu Hadi mnafikia kumtaka afungashe vilago nikakubali.
 
Unatakiwa ujibu je manura hajawahi kufanya makosa yakaigharimu timu?
Hivi yale magoli aliyo fungwa siku ya Yanga ni magoli anayo takiwa kufungwa kipa anaye jiita bora?

Ayobu ni kipa mzuri alicho kifanya ni makosa ambayo yanaweza kufanywa na kipa yeyote bila kujali ubora wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hebu nipe kosa moja la Manula Kati ya Yale magoli matano ya Yanga!
 
Back
Top Bottom