Lakred wewe ni yule yule

Lakred wewe ni yule yule

Alikuwa anatema shuti la mbali vile Kwa sababu gani? Kateleza akiufuata mpira alioupoza mwenyewe bila sababu ya Msingi. Sijui Waliosema Manula aondoke Wana Hali gani huko Mloganzila?
Kwa hiyo manura hajawahi kufungwa bao la kizembe ?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nyie mashabiki mlio anza kushabikia baada ya Mo kuja simba mna matatizo hivi si juzi tu Diara alifungwa goli la kizembe na mtibwa?,
Au manura hajawahi kufungwa bao la kizembe au alikuwa wapi kipindi anafungwa mabao matano na yanga?

Huo mpira aliupoza kwa lengo la kuushika bahati mbaya akateleza sasa hapo tatizo liko wapi?
Ebu jaribuni kuacha ujinga mnatia kinyaa sana.

Kipa na kocha ndio wakwanza kuonekana pindi timu ikifanya vibaya. Ila hii mechi na KMC hakuna aliyecheza ovyo kama midfielders wa Simba. Ngoma na Putin walikuwa wanapoteza sana mipira, kama KMC wangekuwa makini, walikuwa wanamalizia hii mechi kipindi Cha kwanza.
 
Mechi 2 tu wakaanza kumfananisha na Diarra mwenye misimu miwili akiwa kwenye kiwango cha juu!
Mimi hili halikunishangaza sababu ni sehemu ya utani. Lakini kusema Manula hana chake atafute timu ni matumizi mabaya ya Uhuru wa kujieleza. Eti Lakred ghafla kawa zaidi ya Manula Kwa Mechi 2?
 
Walitengeneza hadi form eti ya kumuomba msamaha bwana Ayubu, ikasambaa mitandaoni!

Ila makolo kuna maandazi washabiki mabumunda jamani khaaaa
Naitafuta hiyo fomu nisaini.
 
Kipa na kocha ndio wakwanza kuonekana pindi timu ikifanya vibaya. Ila hii mechi na KMC hakuna aliyecheza ovyo kama midfielders wa Simba. Ngoma na Putin walikuwa wanapoteza sana mipira, kama KMC wangekuwa makini, walikuwa wanamalizia hii mechi kipindi Cha kwanza.
Uko sahihi Kwa uchezaji wa middle ya Simba Leo. Lakini kosa la Lakred ni la kwake Peke yake.
 
Makosa ni kitu cha kawaida katika mchezo ,kwani huyo manura hajawahi kufanya makosa yakaigharimu timu?
Chanzo cha goli kilikuwa ni kutereza kwake zaidi ya hapo angeweza kuuwahi ule mpira.
Kabla ya kumlaumu kipa laumu kwanza wachezaji walio kosa rundo la magoli ya wazi ,hizo nafasi walizo kuwa wanapata wangezitumia vizuri sasa usinge kuwa unaliongelea hilo goli.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Makosa ni kitu cha kawaida katika mchezo ,kwani huyo manura hajawahi kufanya makosa yakaigharimu timu?
Chanzo cha goli kilikuwa ni kutereza kwake zaidi ya hapo angeweza kuuwahi ule mpira.
Kabla ya kumlaumu kipa laumu kwanza wachezaji walio kosa rundo la magoli ya wazi ,hizo nafasi walizo kuwa wanapata wangezitumia vizuri sasa usinge kuwa unaliongelea hilo goli.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi nimechagua kumlaumu kipa aliyejazwa sifa za Mechi 2.
 
Mechi moja makosa mawili yanyofanana na moja likizaa goli.

Umesifiwa siku mbili, lakini haikukusaidia kubadilika.

Makosa kama haya hayawezi hayavumiliki.

Waliosema Manula atafute timu Leo wamemuona Lakred halisi.
Kuteleza na kupoteza timing ni kosa la kibinadamu,Manula huyo mwaka Jana Simba ilipo-draw na KMC 2-2 nae alipigwa goli za ajabu ajabu.The bottom line ni kuwa KMC Wana zari na Simba,na hiyo haiondoi ubora wa Ayubu Lakred
 
Hujuagi kujificha mzee wa neutral, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unachekesha sanaaa.
 
Nyie mashabiki mlio anza kushabikia baada ya Mo kuja simba mna matatizo hivi si juzi tu Diara alifungwa goli la kizembe na mtibwa?,
Au manura hajawahi kufungwa bao la kizembe au alikuwa wapi kipindi anafungwa mabao matano na yanga?

Huo mpira aliupoza kwa lengo la kuushika bahati mbaya akateleza sasa hapo tatizo liko wapi?
Ebu jaribuni kuacha ujinga mnatia kinyaa sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wakati mnamfananisha na diara ndo mlikuwa kinyaa sana
 
Kipa na kocha ndio wakwanza kuonekana pindi timu ikifanya vibaya. Ila hii mechi na KMC hakuna aliyecheza ovyo kama midfielders wa Simba. Ngoma na Putin walikuwa wanapoteza sana mipira, kama KMC wangekuwa makini, walikuwa wanamalizia hii mechi kipindi Cha kwanza.
Yeah walikosa magoli mengi sana

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimechagua kumlaumu kipa aliyejazwa sifa za Mechi 2.
Unatakiwa ujibu je manura hajawahi kufanya makosa yakaigharimu timu?
Hivi yale magoli aliyo fungwa siku ya Yanga ni magoli anayo takiwa kufungwa kipa anaye jiita bora?

Ayobu ni kipa mzuri alicho kifanya ni makosa ambayo yanaweza kufanywa na kipa yeyote bila kujali ubora wake.

Back
Top Bottom