Mkuu huyu mgombea inawezekana ana damu ya Tyson yule wa chama cha magamba ambaye unatumia picha yake kwenye avatar yako.Kipindi hiki cha lala salama huyu mgombea hakutakiwa kuonyesha upande wake mwingine. Huyu akiingia bungeni ataweza kung'uta hata microphone as long as iko mbele yake kwa hasira tu.
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari wa FFU waliokuwapo.
Kisa ni kwamba CUF waliingilia eneo la shule ya Msingi Nandekwa kutaka kufanya mkutano, huku eneo hilo lilikuwa limepangiwa CDM kufuatana na ratiba. Katika mabishano makali polisi iwalisisitiza CUF waliachilie eneo, ndipo Mahona akaja juu akidai alitukanwa vibaya na wafuasi wa CDM.
Alianza kurusha makonde kwa kila mtu aliyekuwa mbele yake lakini baadaye alidhibitiwa na FFU kama saba wenye virungu pamoja na viongozi wa chama hicho hadi ndani ya helikopta iliyokuwa ikiwasubiri.
View attachment 38183
Ahahahaah!! Nao hawa huwa wananunua shahada??huyo mwenye red mbona fuko lkmetuma sana au shahada hizo kanunua kwa wapiga kura
Muhammed Saeed al-Sahaf quotes,Mahona kawachapa viongozi wa cdm na mkutano ukaendelea kama kawa, mkutano wa cdm ndio uliovunjika.
Mkigoma yuko wapi jamani.. Teh teh teh!!!
Mahona kawachapa viongozi wa cdm na mkutano ukaendelea kama kawa, mkutano wa cdm ndio uliovunjika.
huyo mwenye red mbona fuko lkmetuma sana au shahada hizo kanunua kwa wapiga kura
...wazee wa "matamko" mpoo?...angalieni vizuri hizo picha za huo ugomvi,hakuna aliyevuliwa hijabu au kofia kweli?,ebu waiteni waandishi wa habari mtoe tanko lolote coz mi nimeya-miss sana mtamko yenu ktk hizi siku mbili tatu!...