jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
God works on mysterious way!
Lol......
Lol......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
God works on mysterious way!
Lol......
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari wa FFU waliokuwapo.
Kisa ni kwamba CUF waliingilia eneo la shule ya Msingi Nandekwa kutaka kufanya mkutano, huku eneo hilo lilikuwa limepangiwa CDM kufuatana na ratiba. Katika mabishano makali polisi iwalisisitiza CUF waliachilie eneo, ndipo Mahona akaja juu akidai alitukanwa vibaya na wafuasi wa CDM.
Alianza kurusha makonde kwa kila mtu aliyekuwa mbele yake lakini baadaye alidhibitiwa na FFU kama saba wenye virungu pamoja na viongozi wa chama hicho hadi ndani ya helikopta iliyokuwa ikiwasubiri.
![]()
View attachment 38183
Ndugu Mwita Maranya na Ephata Nanyaro,
hebu pekueni huyu kijana hapo chini mwenye T-sheti nyekundo ambaye yuko karibu na hao maafisa polisi ili mkaangalie kama kweli huo mfuko wa nyuma uliotuna sana kama si shahada za kupiga kura.
Pengine ndicho kilicholeta ngumi mambo kuparaganyika mara baada ya wapiga kura wa Igunga kulamba hela zake Mahona na kadi vile vile wakatolea nje.
Ni kweli kabisa ukimuangalia sana usoni huyu Mahona, utaona kama vipi wananchi walimwambia kwamba 'KULA NI KWA KAFU NA MAGAMBA ILA KURA KESHO NI KWA MAGWANDA' tu - kama unakataa kwa nini mgombea mzima alipuke na hasira mpaka kuharibu harusi yake mwenyewe???
Hebu muone alivyojinunisha mpaka akabadilika mweusi wa GIZA GIZA vile wakati anajua hata ngumi hawezi kurusha marambili hewani kabla hajapoozwa kama maji ya mtungi ...
Huu ni ushindani wa kidemokrasia na wala si kwa ajili ya masumbwi, kubaka wala kuchoma nyumba za watu Igunga.
Pisha huko bwana harusi wa kweli Ndugu Kashindye akachukue nafasi yake stahiki kiulaiiiiini vile.
![]()
Pole sana Mahona, cjui kama hata kura 500 zitajika safari hii!!! Maana tulijua unaweza kusanya hata 1000 lkn kwa hili nakucikitikia sana ndugu
Ngoma ya watoto huwa haikeshi ikifika saa 12 wanaambiwa wapige wimbo wa mwisho wakalale.Amemuumbua Sakaya aliedai kwamba cuf pekee ndo kinafanya campaign zakistaarabu.cuf kwishnehi kajichinjia baharini mwenyewe.
Duh,kumbe na ngumi anaweza?
kesho atapiga hadi watoto wake akisikia matokeo (except akishinda)
pasingekuwa na picha wangesema wanazushiwa. Uzalendo na subira vitu muhimu sana