Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,947 Reaction score 4,470 Oct 2, 2011 #81 FFU kwa nn hawakumpiga japo virungu 2 apate displini kidogo.
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,176 Oct 2, 2011 #82 kudadadadeki.........wamekata umeme. sasa nasikiliza redio kupitia simu. kupata habari ni haki yangu ya msingi. mapambano yanaendelea.
kudadadadeki.........wamekata umeme. sasa nasikiliza redio kupitia simu. kupata habari ni haki yangu ya msingi. mapambano yanaendelea.
C change123 Member Joined Oct 8, 2010 Posts 65 Reaction score 23 Oct 2, 2011 #83 Huyu mke wa CCM (CUF)anafujo!! mmewe amemchosha nini? anajikomba kwa chama DUME (CDM) wameanza kuvaa combat. mmh
Huyu mke wa CCM (CUF)anafujo!! mmewe amemchosha nini? anajikomba kwa chama DUME (CDM) wameanza kuvaa combat. mmh
FREDRICK KIMARO Member Joined Aug 15, 2011 Posts 39 Reaction score 3 Oct 2, 2011 #84 hayo cccb ni kawaida yaho kuzichapa hata hapa musoma 2010 mgombea wao wa umbunge alishuka jukwaani akazichapa kwa hiyo sishangai.
hayo cccb ni kawaida yaho kuzichapa hata hapa musoma 2010 mgombea wao wa umbunge alishuka jukwaani akazichapa kwa hiyo sishangai.
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Oct 2, 2011 #85 Najaribu kuvuta sura za watu ambao nawajua ni majambazi na kuzilinganisha na ya huyu jamaa, lol... napata wakati mgumu kutofautisha!
Najaribu kuvuta sura za watu ambao nawajua ni majambazi na kuzilinganisha na ya huyu jamaa, lol... napata wakati mgumu kutofautisha!
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,341 Reaction score 5,543 Oct 2, 2011 #86 Mungu ni mkubwa! Ametuonesha tabia halisi ya huyu jamaa siku ya mwisho!!!!
U Uwezo Tunao JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 6,942 Reaction score 1,191 Oct 2, 2011 #87 Mambo safi Igunga.
S SEAL Team 6 JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 655 Reaction score 118 Oct 2, 2011 #88 fmpiganaji said: Akili zake ni kama za livingstone lusinde. Click to expand... Ha ha... ni kama za Aeshi Jambazi sugu la huko Sumbawanga.
fmpiganaji said: Akili zake ni kama za livingstone lusinde. Click to expand... Ha ha... ni kama za Aeshi Jambazi sugu la huko Sumbawanga.
Borakufa JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 1,503 Reaction score 390 Oct 2, 2011 #89 Duuh! akienda bungeni huyu hatasema funga mlango atasema funga gate!