Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Na mie basi naweza kusema natumia daraja moja na Jigga.
SMH.
Heck, hata mimi najaza mafuta kwenye gas station anayojazia Usher, Rick Ross, Diddy, Holyfield, and etc.,
Ila nimekuja kugundua ushamba nao ni sehemu ya ujinga flani hivi.
Lengo la hili jukwaa la celebrities ni kwa ajili ya news za watu maarufu na ikiwa habari za hao watu ni kuwapa promo basi huyo Lamar sio wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho kuwa promoted. kwa wapenzi na wafuatiliaji wa muziki wa Bongo Flavor (sio wapenzi wa akina Kiba na Diamond), Lamar ni maarufu na ndio maana nikasema hilo haliepukiki, iwe promo mzuri au mbaya, habari zake lazima zitaandikwa tu hapa jukwaani na hii si mara ya kwanza!Kumkejeli kwa kumpa promo mtu bila kulipwa ni kujikejeli mwenyewe.
Lengo la hili jukwaa la celebrities ni kwa ajili ya news za watu maarufu na ikiwa habari za hao watu ni kuwapa promo basi huyo Lamar sio wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho kuwa promoted. kwa wapenzi na wafuatiliaji wa muziki wa Bongo Flavor (sio wapenzi wa akina Kiba na Diamond), Lamar ni maarufu na ndio maana nikasema hilo haliepukiki, iwe promo mzuri au mbaya, habari zake lazima zitaandikwa tu hapa jukwaani na hii si mara ya kwanza!
Inaonesha Kiranga na Watu8 , na hata mkuu KikulachoChako hawamfahamu vizuri maatope. Kwa sie tunaemfahamu, ulichosema wewe King Kong III ndicho hasa alichomaanisha maatope.
wakati mwingine kukubali kushindwa ni uungwana. hapa wala hatushindani kuoneshana ni nani ana uwezo wa kutetea hoja! kubali tu kwamba ulimtafsiri maatope ndivyo sivyo! wewe na wenzako mlimuona maatope ni kama limbukeni flani kuleta habari za mtu kununua viatu kumbe yeye alikuwa anam-dis mtu kununua viatu kisha anafikia hadi ku-post instagram! inafurahisha kuona wewe unayetaka tukuone unafahamu habari ni nini na tofauti ya habari ni hipi lakini bado kabisa ukasindwa kufahamu dhima ya uzi husika!! hata pale watu wanapoelekeza, bado unataka kulazimisha hoja kwa kujenga hoja zisizo pahala pake! ama iwe udaku, umbeya, habari, au taarifa; yote hayo ni malengo ya jukwaa hili, kwa hakika ndo pahala pake sawia! kama ulitarajia kukuta serious news, am sorry kukueleza kwamba utakuwa umepotea njia unless kama bado unaamini kwamba watumiaji wengi wa jukwaa hili ni wale wasiofahamu tofauti ya habari, umbeya, udaku na makorokocho mengine! nimalizie kwa kusema kwamba, ingawaje "sifahamu" tofauti kati ya habari, umbeya na udaku, basi angalau, ama kwa kula desa au vinginevyo, bado nilifanikiwa kuelewa lengo la mleta hoja!!!Huwezi kuzifahamu habari ni nini hata zikiwa chini ya pua yako.
Hufahamu habari ni nini na tofauti ya habari, umbeya na udaku ni nini.
haijavamiwa hata kidogo! tatizo watu mliangalia tu hoja ya viatu lakini hamkuangalia mambo mengine! Ile tu kusema kwamba Lamar amepeperusha vema bendera ya tz kwa kununua viatu, tayari mngeshituka kidogo tu mngegundua kwamba alichofanya ni kum-dis Lamar!Kama ndio hivyo basi fasihi simulizi imevamiwa....