Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Uchaguzi 2020 Lameck Airo ajiondoa kugombea Ubunge Rorya

Kugonga meza miaka 5 si mchezo jamani ndiyo maana kaona Bora afanye mambo mengine ya msingi kuliko kwenda bungeni
 
Kanusa kushindwa. Itakuwa aliweka mbele maslahi yake na akawatelekeza wananchi.
 
Erythrocyte,

Kama kuna eneo mojawapo ambalo ninasikitika TAKUKURU wamelinyamazia ni hili kwani huko kuna Rushwa na Watu Kutishwa / Kutishana mno.
 
Kanali mstaafu Kichonge Mahende Masero msomi wa Chuo Kikuu ajitosa kiaina kusaka teuzi ndani ya CCM Mpya mkoani Mara

 
Back
Top Bottom