Lameck Ditto achemka madai ya bilioni 6 dhidi ya DStv, Mahakama yasema ilitumika 'second version' na si 'original' yake

Original version ya huo wimbo ni ule wa wasanii wote waliimba Nchi Yangu, yeye Lameck Ditto aliurudia kuimba peke yake as second version, yaani hata yeye ditto sio wimbo wake, ali ucopy na kuimba tena..!!
Oh, kweli ule walioimba wote ulikuwa ukipigwa sana clouds. What if yeye ndiye composer wa huo wimbo, Maana natumai wengi walikuwa ni wa THT na kama kumbukumbu zangu ni sawa ditto alikuwa mwalimu wa THT na mtunzi wa nyumbo nyingi.
 
Mahakama h
Original version ya huo wimbo ni ule wa wasanii wote waliimba Nchi Yangu, yeye Lameck Ditto aliurudia kuimba peke yake as second version, yaani hata yeye ditto sio wimbo wake, ali ucopy na kuimba tena..!!
Mahakama haijasema hivyo lakini.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Yaani ulake uamke na Bilioni 6 kizembe? Kwa mahakama hizi hizi za Kina Rastamani Aziz?

Tukiwambia Katiba Mpya hawa wasanii wanadhani ni ya Chadema tu.
 
Na hiyo copy ni ya nani? Huyo mwenye copy naye aingie kati kuwashitaki
 
Apewe namba za Advocate Peter Patience Kibatala 😀 Watu hawataki kuheshimu hakimiliki za watu!
Kesi za jinai na madai tofauti ,wataalamu wa kesi za madai wapo huwezi kuwasikia wakitafuta kiki mitandaoni wakigombea dhamana za kesi za kuku
 
Na hiyo copy ni ya nani? Huyo mwenye copy naye aingie kati kuwashitaki
Nahisi kuna nyimbo ambazo nadhani huwa hazilipiwi mfano cover nahisi huwa hazilipiwi. maana nishasoma sehemu fulani uwa kwa mfano kwenye malls utakuwa wanapiga nyumbo ambazo ni modified version za OG. Mimi si mwanasheria lakini kama kuna anayejua masuala ya hakimiliki anaweza kutusaidia
 
Kesi kama hizi huwa zinamalizea nje ya mahakama
 
Kwa sasa kuna covers haswa hizi nostalgia kama EDM au sweet RnB hizo hazilipwi ila tu OG version ndo lazma mpunga utoke.
 
sasa hapo multichoice si waliajiri wakili, tena kwa dai kubwa namna hiyo wakili alilipwa mpunga mrefu, gharama za kesi amesamehewa au anatakiwa kuzilipa? hapo chacha.
 
Hukumu kituko kuwahi kutokea .......wakuwapi BASATA Kutetea haki za wasanii ? Hiyo second version ina sauti ya nani ? nani aliitengeneza ? na nani aliwaruhusu kucopy huu wimbo ? kulikua na ridhaa ya Ditto ?
 
Hukumu kituko kuwahi kutokea .......wakuwapi BASATA Kutetea haki za wasanii ? Hiyo second version ina sauti ya nani ? nani aliitengeneza ? na nani aliwaruhusu kucopy huu wimbo ? kulikua na ridhaa ya Ditto ?
Yaani nikituko second version ,nimecheka sana.bora wangesema tumetumia original version ya kwako second version ingeleta maana sasa wametumia second version halafu wanamtoa mwenye original,na ameenda na ushahidi wa nyimbo kabisa unasikia sauti yake sio cover.na hati ya umiliki wa nyimbo kutoka basata mmiliki ni yeye duh noma sana.
 
Hapo dawa ni kwenda basata kuchukua hatimiliki ya second version,maana hata remix ya nyimbo yako unaambiwa sio wewe huyo.

Unakuwa na zote original version na second version.
Sasa akikosa hatimiliki ya second version hapo itakuwa shida lakini wamekubali wametumia remix yake.
 
Original version wa huu wimbo ni ule wa wasanii wote waliimba Nchi Yangu, yeye Lameck Ditto aliurudia kuimba peke yake as second version, yaani hata yeye sio wimbo wake, ali ucopy na kuimba tena..!!
Hujui kitu kaa kimya sio upotoshe. Hujui hata unachokisema.
 
Mjomba unataka ulale uamke upate billion 6 kizembe tu aisee mjomba fanya kazi nyingine ila sio dstv ninaowajua wakupe huo mpunga kizembe hivyo
 
Bln 6 wakupe unafanya mchezo nini

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…