LAMECK LAWI AANZA MAZOEZI NA TIMU YAKE

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Mlinzi wa klabu ya Coastal union na timu ya taifa ya Tanzania ameanza mazoezi rasmi katika klabu yake kuelekea mchezo wa ligi kuu NBC dhidi ya Jkt Tanzania Septemba 25 mwaka huu.

Lameck Lawi amerudi Tanzania baada ya kufeli majaribio katika klabu ya AIK ya nchini Sweden.

#matukiolive #sokadamuniuni
 
Kila la heri Lawi hapo coastal uonekane tena.
 
Kwanini asiende simba
 
Duuuh. Waswahili wa Tanga wameridhika sasa....
 
Simba walimshitaki kamati ya HADHI na Sheria ya wachezaji, hukumu zote zimetoka Ila swala la Lawi wamesema timu zikaelewane.
Tukisema Simba Ina viongozi wabovu watu wanawatetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…