Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu
Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao
Huyo lameck lawi simba waliomtambulisha ni yupi
Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao
Huyo lameck lawi simba waliomtambulisha ni yupi