Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu
Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao
Huyo lameck lawi simba waliomtambulisha ni y
Kwani KARIA anasemaje? Maana zote mbili ni timu zake.Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu
Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao
Huyo lameck lawi simba waliomtambulisha ni yupiView attachment 3034228
Simba imeshasajili mabeki wazuri hadi sasa. Lakini ikiamua kumkomalia Lameck, anaweza akajikuta analazimika kucheza Simba au kufungiwa. Inawezekana huelewi mambo, unadhani usajili ni pale mchezaji anapoingia kambini. Chama mwenyewe ambaye ana haki zote za kucheza Yanga, lakini bado anasubiri Simba wafanye approve kwenye mfumo, itakuwa Lameck ambaye ameanguka signature kabisa!Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu
Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao
Huyo lameck lawi simba waliomtambulisha ni yupi
Simba watoe approval ya aina gani kwa mchezaji aliyemaliza mkataba na yupo huruSimba imeshasajili mabeki wazuri hadi sasa. Lakini ikiamua kumkomalia Lameck, anaweza akajikuta analazimika kucheza Simba au kufungiwa. Inawezekana huelewi mambo, unadhani usajili ni pale mchezaji anapoingia kambini. Chama mwenyewe ambaye ana haki zote za kucheza Yanga, lakini bado anasubiri Simba wafanye approve kwenye mfumo, itakuwa Lameck ambaye ameanguka signature kabisa!
Mashabiki wengi wa simba wana-uelewa mdogo sana linapokuja swala la timu yaoSimba watoe approval ya aina gani kwa mchezaji aliyemaliza mkataba na yupo huru
Kwa hiyo ukimaliza mkataba unaondoka tu bila letter of approvalSimba watoe approval ya aina gani kwa mchezaji aliyemaliza mkataba na yupo huru
Requirement ya system. Waulizwe FIFASimba watoe approval ya aina gani kwa mchezaji aliyemaliza mkataba na yupo huru
😁😁😁 Thimba nguvu moyaaaSimba imeshasajili mabeki wazuri hadi sasa. Lakini ikiamua kumkomalia Lameck, anaweza akajikuta analazimika kucheza Simba au kufungiwa. Inawezekana huelewi mambo, unadhani usajili ni pale mchezaji anapoingia kambini. Chama mwenyewe ambaye ana haki zote za kucheza Yanga, lakini bado anasubiri Simba wafanye approve kwenye mfumo, itakuwa Lameck ambaye ameanguka signature kabisa!
Approval letter ya nini nawakati mkataba umeishaKwa hiyo ukimaliza mkataba unaondoka tu bila letter of approval
Wewe ukimaliza mkataba wa kazi Huwa unajiondokea tu, kwa taasisi yoyote makini lazima muandikishane na kupeana mkono wa kwa heri. Pesa zako utazidai vipi bila barua ya uthibitisho.Approval letter ya nini nawakati mkataba umeisha
Sio kweli mbappe mkataba umeisha hata psg hajawaaga na ameshasign madridWewe ukimaliza mkataba wa kazi Huwa unajiondokea tu, kwa taasisi yoyote makini lazima muandikishane na kupeana mkono wa kwa heri. Pesa zako utazidai vipi bila barua ya uthibitisho.
Lakini mbape una uhakika Hana barua ya kumaliza mkataba Kutoka PSG?Sio kweli mbappe mkataba umeisha hata psg hajawaaga na ameshasign madrid
Mchezaji mkataba wake ukiwa unaisha miezi sita ya mwisho anaruhusa ya kuongea na timu yeyote bila ruhusa ya timu aliyopo
Umeniwahi kuulizaSimba watoe approval ya aina gani kwa mchezaji aliyemaliza mkataba na yupo huru
Rage alikua sahihi.Mashabiki wengi wa simba wana-uelewa mdogo sana linapokuja swala la timu yao
Ndo maana dewji anawachezesha makirikiri anavyotaka
Sasa kama mkataba ushaisha kwanini simba hawatoi iyo letter of approval immediately? wanataka kumkomoa nani?Kwa hiyo ukimaliza mkataba unaondoka tu bila letter of approval
Wewe una uhakika anayo? Barua ya nini wakati mkataba unaonyesha deadline? Masuala ya kuagana ni hiyari tu kuonyesha uungwana sio takwa la kisheria.Lakini mbape una uhakika Hana barua ya kumaliza mkataba Kutoka PSG?
Kuna mashabiki wa ile timu jana walinibishia eti nilipojaribu kuuliza kwenye ule uzi wa usajili.Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba tayari ni mchezaji wao wasio na hofu
Ajabu lameck lawi yupo kambini tanga na coastal union kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao
Huyo lameck lawi simba waliomtambulisha ni yupiView attachment 3034228
Hivi Simba na yanga nani ana kesi nyingi fifa za kuhusu wachezaji, Morison mlidanganywa CAS wakaja kuwaumbua.Mashabiki wengi wa simba wana-uelewa mdogo sana linapokuja swala la timu yao
Ndo maana dewji anawachezesha makirikiri anavyotaka
Umesahau ya kina victor costa, chuji, yondani, mbuyu twitte au umeanza kushabikia mpira juziHivi Simba na yanga nani ana kesi nyingi fifa za kuhusu wachezaji, Morison mlidanganywa CAS wakaja kuwaumbua.
Simba huwa hawabahatishi.