mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Pesa zako utazikuta NSSF na si kwa mwajiri wakoWewe ukimaliza mkataba wa kazi Huwa unajiondokea tu, kwa taasisi yoyote makini lazima muandikishane na kupeana mkono wa kwa heri. Pesa zako utazidai vipi bila barua ya uthibitisho.
Nimeanza kufatilia mpira toka enzi za kina Yusuph Bana kaa utulieUmesahau ya kina victor costa, chuji, yondani, mbuyu twitte au umeanza kushabikia mpira juzi
Nitulie vip nawakati hao wote simba ilisema inamikataba nao kumbe ni janja janja na ikaangukia puaNimeanza kufatilia mpira toka enzi za kina Yusuph Bana kaa utulie
Sengano messiNitulie vip nawakati hao wote simba ilisema inamikataba nao kumbe ni janja janja na ikaangukia pua
In short hizi timu mbili hakuna wa kumcheka mwenzake zote zinaendeshwa kimagumashiSengano messi
Sasa kama Chama mpka Simba wafanye approvement alf Lawi costal union hawana ubavu?Simba imeshasajili mabeki wazuri hadi sasa. Lakini ikiamua kumkomalia Lameck, anaweza akajikuta analazimika kucheza Simba au kufungiwa. Inawezekana huelewi mambo, unadhani usajili ni pale mchezaji anapoingia kambini. Chama mwenyewe ambaye ana haki zote za kucheza Yanga, lakini bado anasubiri Simba wafanye approve kwenye mfumo, itakuwa Lameck ambaye ameanguka signature kabisa!
We si ulikuwa unashinda Karume kungojea majibu ya kesi ya MorisonNitulie vip nawakati hao wote simba ilisema inamikataba nao kumbe ni janja janja na ikaangukia pua
Unanijua jibu ni hapanaWe si ulikuwa unashinda Karume kungojea majibu ya kesi ya Morison
Coastal Union na Lawi walianguka signatures kwa hiyari yao, kwa hiyo watalazimishwa na mamlaka. Chama amemaliza mkataba, baadaye system haitawalazimisha Yanga waisubiri SimbaSasa kama Chama mpka Simba wafanye approvement alf Lawi costal union hawana ubavu?