Lameck Lawi Anukia Ligi Kuu Ubelgiji K.A.A Gent

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini humo ijapo haijawekwa wazi ila vyanzo vyangu kutoka Ubelgiji ni kuwa anaelekea K.A.A GENT endapo atafuzu vipimo vya afya.

Wagosi wa Kaya inaaminika kuwa watakunja kiasi cha EURO 100,000 kwenye biashara hiyo ikiwa ni sawa na MILLION 287 za Kitanzania huku wakiweka kifungu cha onward resale, ikiwa na maana watakunja pesa nyingine endapo Gent watafanya biashara nyingine ya kuuza mchezaji huyo.

Ni habari njema kwa Tanzania, kipaji kingine kinaenda kuhudumu kwenye soka la Ulaya.

Wagosi wa kaya wanaamini ni njia sahihi kwa kijana lawi kufikia ndoto na malengo yake ya kucheza ligi bora duniani,huko club pia ikiamini itanufaika zaidi kupitia dili hili kwa maana imani kubwa ipo kwa kijana michirizi na Umri wake.

IMG_0455.jpeg
 
Nyota inawaka sana ya lawi

View attachment 3034022
 
Source??
 
Coastal washaona Simba ni wa kujipigia tu, inaonekana mwanzoni walikubali hela ndogo walivyoona kibu d kapiga mzigo baada ya kuwatisha Tisha majamaa kua anatakiwa nje wamekuja na same strategy ili jamaa waongeze hela, huyu ataenda Simba wanachosubiri coastal ni mzigo uongezeke hakuna Cha Genk Wala gent hapo
 
Jipe moyo
 
Na wewe utapata ganji Utoponga?.
Dili likifanikiwa ni faida kwa Taifa tukiwa na Mapro wengi nje. Natamani hata Bacca na Job nao wapate timu Ulaya.

Bahati mbaya mi sio shabiki Oya Oya. Kama unatafuta kubishana tafuta mwingine wa kumquote.
 
Sasa mbona Ahmed Ally mpaka juzi tu hapa kwenye ile shughuli yao na Vodacom, aliongea hadharani ya kwamba Lameck Lawi ni mchezaji wao!!!

Au na yeye ameamua kuwageuza mashabiki wa timu yake kuwa ni mbumbumbu!!
 
Mkuu embu wapumzishe jamaa walau kidogo, spana unazowapiga sio za kawaida.
 
Back
Top Bottom