Hakuna deal hapo, badala mteja ndio ahangaike cha ajabu muuzaji ndio anahangaika, hii sio biashara ya magariNatamani hili deal lifanikiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna deal hapo, badala mteja ndio ahangaike cha ajabu muuzaji ndio anahangaika, hii sio biashara ya magariNatamani hili deal lifanikiwe.
Spana za makapuku na wachawi.Mkuu embu wapumzishe jamaa walau kidogo, spana unazowapiga sio za kawaida.
Mbumbumbu wanapenda ligi humu jf ili watukane kupunguza maumivu ya kipigo cha 7-2, Chama kuja uto, Dube kuja uto na mpango wa Yanga kuhakikisha Chief Mangungo bado wanae hadi 2030 hadi tuamue kuwapa kombe japo moja !Dili likifanikiwa ni faida kwa Taifa tukiwa na Mapro wengi nje. Natamani hata Bacca na Job nao wapate timu Ulaya.
Bahati mbaya mi sio shabiki Oya Oya. Kama unatafuta kubishana tafuta mwingine wa kumquote.
bro ni uongo mtupu hakuna cha genk,lawi ni mchezaji halali wa simba maana kasaini simba na pesa alipokea na zawadi kemkem ikiwemo na iphone 15.subiri utaona lawi atacheza simbaLAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini humo ijapo haijawekwa wazi ila vyanzo vyangu kutoka Ubelgiji ni kuwa anaelekea K.A.A GENT endapo atafuzu vipimo vya afya.
Wagosi wa Kaya inaaminika kuwa watakunja kiasi cha EURO 100,000 kwenye biashara hiyo ikiwa ni sawa na MILLION 287 za Kitanzania huku wakiweka kifungu cha onward resale, ikiwa na maana watakunja pesa nyingine endapo Gent watafanya biashara nyingine ya kuuza mchezaji huyo.
Ni habari njema kwa Tanzania, kipaji kingine kinaenda kuhudumu kwenye soka la Ulaya.
Wagosi wa kaya wanaamini ni njia sahihi kwa kijana lawi kufikia ndoto na malengo yake ya kucheza ligi bora duniani,huko club pia ikiamini itanufaika zaidi kupitia dili hili kwa maana imani kubwa ipo kwa kijana michirizi na Umri wake.
View attachment 3034022