Nani kakwambia kila team inahitaji kiungo mkabaji? Nani kakwambia kila mfumo unahitaji kiungo mkabaji? Barcelona ya Pep haikua na kiungo mkabaji. Busquet sio defensive midfielder, kuna aina 3 za namba 6 ktk mpira wa kisasa.Team aina balance kapanga kwa mapenzi
Maana sioni kiungo mkabaji hapo katikati team itakuwa inashambulia muda wote???
Team aina balance kapanga kwa mapenzi
Maana sioni kiungo mkabaji hapo katikati team itakuwa inashambulia muda wote???
Mkuu tukupe Simba msimu huu 😂Nani kakwambia kila team inahitaji kiungo mkabaji? Nani kakwambia kila mfumo unahitaji kiungo mkabaji? Barcelona ya Pep haikua na kiungo mkabaji. Busquet sio defensive midfielder, kuna aina 3 za namba 6 ktk mpira wa kisasa.
Kuna defensive midfielder huyu ni namba 6 kazi yake ni kukaba tu.
Kuna holding midfielder huyunj namba 6 majukum yake uwanjan kuichezesha team kutokea na kusaidia kukaba.
Kuna deep lying playmaker huyu ni namba 6 majukum yake uwanjan ni kuisukuma team iende mbele, yaan yeye team inapokua na mpira nyuma ni kuisukuma team iende mbele zaid kwa pasi fupi au ndefu au kukota kikubwa ni kuifanya team isogee juu. Mfano wa deep lying playmaker ni vitinha wa PSG. Yule no namba 6 hata ktk mfumo 4 3 3 wa psg wa yeye anakua peke yake pale mbele ya mabeki. Je vitinha ni mkabaji kama unavotaka hapa? Au mfano pirlo ni namba 6 je pirlo ni mvunja kuni? Busquet pia sio kiungo mkabaj ulijue hilo.
Nipeni ila kwa mashart, ponjori aache team yetu ni tapeli.Mkuu tukupe Simba msimu huu 😂
Nani kakwambia kila team inahitaji kiungo mkabaji? Nani kakwambia kila mfumo unahitaji kiungo mkabaji? Barcelona ya Pep haikua na kiungo mkabaji. Busquet sio defensive midfielder, kuna aina 3 za namba 6 ktk mpira wa kisasa.
Kuna defensive midfielder huyu ni namba 6 kazi yake ni kukaba tu.
Kuna holding midfielder huyunj namba 6 majukum yake uwanjan kuichezesha team kutokea na kusaidia kukaba.
Kuna deep lying playmaker huyu ni namba 6 majukum yake uwanjan ni kuisukuma team iende mbele, yaan yeye team inapokua na mpira nyuma ni kuisukuma team iende mbele zaid kwa pasi fupi au ndefu au kukota kikubwa ni kuifanya team isogee juu. Mfano wa deep lying playmaker ni vitinha wa PSG. Yule no namba 6 hata ktk mfumo 4 3 3 wa psg wa yeye anakua peke yake pale mbele ya mabeki. Je vitinha ni mkabaji kama unavotaka hapa? Au mfano pirlo ni namba 6 je pirlo ni mvunja kuni? Busquet pia sio kiungo mkabaj ulijue hilo.o
Unaweza kuwa na kikosi kama hicho UEFA usipate piawakuu
=====
huyu Yamal kweli ni bwana mdogo amemsahu hata pele???
Nyota chipukizi wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ameibua mjadala mzito mitandaoni baada ya kutangaza kikosi chake cha ndoto (all-time XI), kikosi ambacho kimejaa mastaa waliotawala enzi za tiki-taka na mafanikio makubwa ya klabu hiyo ya Katalunya.
Kikosi hicho kimezua mjadala mkubwa mitandaoni, mashabiki wengine wakishangaa kuona nyota kama Eto’o akikosekana.
kwa mujibu wa chapisho la mtandao maarufu wa soka 433, kinda wa fc barcelona na timu ya taifa ya uhispania, lamine yamal, ametaja kikosi chake cha ndoto cha wachezaji bora kuwahi kutokea kwenye historia ya soka, na majina yaliyochomoza yamewasha moto mkubwa mitandaoni!
lamine yamal, mwenye umri wa miaka 17 pekee, ameonesha upendo wake mkubwa kwa mastaa waliowahi kutamba barcelona na real madrid – jambo lililozua mjadala mkali miongoni mwa mashabiki.
kikosi chake ni kama ifuatavyo (formation 3-4-3):
🧤 golikipa: iker casillas (hispania / real madrid)
🛡 walinzi: marcelo (brazil / real madrid) sergio ramos (hispania / real madrid / psg) gerard piqué (hispania / barcelona) dani alves (brazil / barcelona)
⚙️ kiungo:
zinedine zidane (u faransa / juventus / real madrid
neymar jr (brazil / barcelona / psg / al-hilal)
lionel messi (argentina / barcelona / psg / inter miami)
⚡️ washambuliaji:
cristiano ronaldo (portugal / man utd / madrid / juve / al-nassr)
ronaldo nazário (brazil / barcelona / inter / madrid)
ronaldinho (brazil / barcelona / milan)
wengi wamepongeza uchaguzi huu, wakiuita "timeless", huku wengine wakikosoa kutokuwepo kwa mastaa kama pele, maradona, xavi au iniesta.