Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Dogo hicho ni kikosi chake wala hajaomba masahihisho.
Kila mtu apange kikosi chake aweke wachezaji anaowataka
Kila mtu apange kikosi chake aweke wachezaji anaowataka
Mbona nimejibu sema una uelewa mdogo, Zidane ndo namba 6 hapo anakuwa kama deep lying playmaker, Zidane ni pure midfielder anaweza cheza 6,8,10 na hata kutokea pembeni huku hao mabek mmoja anasogea juu team ikiwa inamiliki mpira.. ungekua unajua deep lying playmaker majukum yake uwanjan usingeshangaa kikos hicho.Umeongea maneno meeengi lkn hujajibu hoja
Zidane ni bora kuliko viungo wote wakabaji uliowahi kuwaona???Mbona nimejibu sema una uelewa mdogo, Zidane ndo namba 6 hapo anakuwa kama deep lying playmaker, Zidane ni pure midfielder anaweza cheza 6,8,10 na hata kutokea pembeni huku hao mabek mmoja anasogea juu team ikiwa inamiliki mpira.. ungekua unajua deep lying playmaker majukum yake uwanjan usingeshangaa kikos hicho.
Ww jamaa mbona mweupe sana kwenye football, namba 6 si eneo la kiungo mkabaji tu.. namba 6 kuna viungo wa aina tofaut tofautZidane ni bora kuliko viungo wote wakabaji uliowahi kuwaona???