round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Messi yupo daraja la pekee!!
subiri kwanza nijadiliane na cole palmer hapa tutakujibu.
Messi akiwa katika umri wa lamine barca kulikua na gaucho, deco, etoo n.k na mbaya zaidi Messi alikuaga injury prone. Lakini ingekua barca ya saiiv Messi anaanza kwenye line up.Je kwa umri huo La pulga alikuwa tegemez Barcelona? Mi naona kwa umri huo Yamal ni bora ila sijui muendelezo wake utakuaje.
Hujamuelewadharau sasa hizi