Lamine Yamal v/s Lionel Messi wakiwa na miaka 17, yupi mkali ?

Je kwa umri huo La pulga alikuwa tegemez Barcelona? Mi naona kwa umri huo Yamal ni bora ila sijui muendelezo wake utakuaje.
Messi akiwa katika umri wa lamine barca kulikua na gaucho, deco, etoo n.k na mbaya zaidi Messi alikuaga injury prone. Lakini ingekua barca ya saiiv Messi anaanza kwenye line up.

Nakumbuka uefa moja hivi Messi akiwa katika age ya lamine aliivuluga sana ngome ya chelsea ile ya wakina terry, calvariho, ashley cole n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…