Lamine Yamal v/s Lionel Messi wakiwa na miaka 17, yupi mkali ?

Sio hoja
 
Yan Yamal akiona huu uzi atalia sanaaa daaah yan Yamine amweze Messi kweli mbona mnadharau sana ?....
 
Inaweza asitokee tena binadamu wa kuvunja records za messi. Nina uhakika 99%
 
Messi alikuwa na backup ya wakina iniesta. Huyu Yuko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…