Lamine Yamal

Lamine Yamal

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Lamine Yamal ni kijana mdogo tu wa miaka 17 sasa, ambaye tayari ameshajipatia umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kusakata soka, ni mchezaji tegemeo Barcelona na pia juzi juzi tu ameshinda tuzo ya mchezaji bora chipukizi katika michuano ya Euros akiiwakilisha Hispania.

Bahati mbaya dogo aliingia kwenye anga za luciferian. Luciferian huyu mwenye miaka 22 alikua na lengo la kumlaghai dogo, kumtumia kutokana na mafanikio, umaarufu na hela zake na kuingia mitini akishatimiza malengo yake. Mission ya huyu mwanalucifer huyu imekwama kwa sababu mama yake Lamine kaweka uzibe.

Bi dada huyu baada ya kugundua mama yake Lamine ndie adui yake mkuu katika kutimiza malengo yake aliona aendelee tu mishe zake za udangaji.

Bi mkubwa anajua tricks za wanawake kwaiyo anamuwekea ulinzi mwanae, pesa za dogo anashika yeye na kuongozana nae kila anapoenda.

Baada ya mdangaji huyu kugundua mission yake haiwezi kufanikiwa maana bi mkubwa anakaba mpaka penati, imemlazimu kurudi kwenye uhalisia wake.

Kulingana na vyanzo vya habari Lamine ashampiga chini baada ya kuona picha zake akifanya vitendo vya kingono na mwanaume mwingine night club.

This is a case study to all young men out there

As a man know that, you become more powerful and succesful with women once they can no longer manipulate you but if a woman can manipulate you are finish.

A moment a woman notices that she can't manipulate you she will reveals her real self and thats when you can easily know who she is.
 
Huyu dogo wakati anawika nakumbuka team Messi walikuja na propaganda zao na vipicha vya old-school vinavyoonesha Messi anamuogesha dogo.

Team Messi wakatafsiri kitendo hicho cha Messi kumuogesha dogo ni kumpa baraka ambazo natunda yake ndio yamekuja kuonekana kipindi hiki.

Sasa kumbe hii ikamfikia hadi dingi yake na dogo.

Dingi akasema inawezekana Messi ndio aliyepewa baraka na mwanangu siku ile kwasababu baada ya hapo ndio Messi akaanza kushinda balón d'or
 
Dingi ni team madrid.. hata kabla hajampeleka dogo la masia alimpeleka madrid wakamtema.. ikabid tu ampeleke La masia...
 
Huyu dogo wakati anawika nakumbuka team Messi walikuja na propaganda zao na vipicha vya old-school vinavyoonesha Messi anamuogesha dogo.

Team Messi wakatafsiri kitendo hicho cha Messi kumuogesha dogo ni kumpa baraka ambazo natunda yake ndio yamekuja kuonekana kipindi hiki.

Sasa kumbe hii ikamfikia hadi dingi yake na dogo.

Dingi akasema inawezekana Messi ndio aliyepewa baraka na mwanangu siku ile kwasababu baada ya hapo ndio Messi akaanza kushinda balón d'or
Nakumbuka ilo sakata 😀😀😀. Wazazi wa dogo wanampambania sana mtoto wao
 
Huyu dogo wakati anawika nakumbuka team Messi walikuja na propaganda zao na vipicha vya old-school vinavyoonesha Messi anamuogesha dogo.

Team Messi wakatafsiri kitendo hicho cha Messi kumuogesha dogo ni kumpa baraka ambazo natunda yake ndio yamekuja kuonekana kipindi hiki.

Sasa kumbe hii ikamfikia hadi dingi yake na dogo.

Dingi akasema inawezekana Messi ndio aliyepewa baraka na mwanangu siku ile kwasababu baada ya hapo ndio Messi akaanza kushinda balón d'or
Tufanye Yote kheri, baraka za yamal now Messi Ni GOAT

NGONGA LIKE HAPO CHINI
 
Mtoto mdogo sana miaka 16 tayari alikuwa na muhusiano yashangaza makuzi ya nje yalivyo.
Ulaya na marekani sheria inaruhusu kujihusisha na mapenzi mtu akiwa bado mdogo halafu mfumo wa maisha kule watu wanajipata mapema sio ajabu kukutana dogo wa miaka 18 tu ashajipata. Justin Bieber alianza mahusiano na yule demu wake wa zamani akiwa around age iyo iyo kama Lamine
 
Mtoto mdogo sana miaka 16 tayari alikuwa na muhusiano yashangaza makuzi ya nje yalivyo.
Ulaya ni mambo ya kawaida na hawafichi. Siyo kama sisi unakuta unafiki mwingi. BTW huyo mchezaji bado ana safari ndefu mno kwa sababu ni wachezaji wengi walianza kutamba kwenye umri mdogo lakini walipofikisha miaka 22 wakapotea kabisa. Kuna yule Ansu Fati alitamba sana lakini sasa amekuwa wa kawaida.
 
Ansu fati ilikua hype tu ila lamine ball analipiga
 
Kwa maana ingine pesa na umaarufu haviwezi kukusaidia kwa wanawake, kama wa kuisha utaisha tu
 
Mtoto mdogo sana miaka 16 tayari alikuwa na muhusiano yashangaza makuzi ya nje yalivyo.
Ndio inavyo takiwa iwe
Sio kupiga mikwara madogo wanaishia kupiga nyeto tuu mpka wana haribikiwa
 
Ana kipaji cha kumzidi messi?
Bado dogo ana safari ndefu sana kuwekwa kwenye level ya Messi ila ukimlinganisha na Messi wakati ana umri km wa lamine, lamine ana hatari zaidi uwanjani kwa sababu anacheza mpira wa kuleta matokeo tofauti na messi alikua anacheza mpira wa kitoto
 
Back
Top Bottom