Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Wakati tetesi zikivuma kuwa Steven Gerrard anajiandaa kutangaza kustafu kabisa soka katika timu yake ya L.A Galaxy.
Leo tuangalie viungo watatu wa Kiingereza waliotamba kwa miaka 15 iliyopita. Japo hawafikii uwezo wa viungo kama Xavi na Pirlo lakini tuone nani alikuwa mahiri zaidi.
Je kati ya Frank Lampard nyota wa zamani wa Chelsea na Man City, Paul Scholes nyota wa zamani Man Utd na Steven Gerrard nyota wa zamani wa Liverpool ni nani alikuwa bora hasa katika suala la uwezo wa kumiliki mpira, Kupiga pasi na hata kuibeba timu inapohitajika? Ni kiungo yupi kati yao ulimkubali zaidi?
Tuweke unazi wa vilabu vyetu pembeni, karibuni katika mjadala...