Lampard, Scholes na Gerrard ulimkubali yupi zaidi?

Discipline, leadership, hardworking, football skills and intelligence, body strength, cool off-pitch behavior, humble...... Na sifa zingine kibao. Huyo ndo Steven Gerrard, hatakuja atokee mchezaji kama huyu pale Liverpool na uingereza nzima.
Captain Fantastic Steven George Gerard .
The best middlefileld in English football history.
 
Mkuu nmekupata vizur sana
 
Umemaliza kila kitu, huyo albino Paul Scholes hana kitu
 
Umemaliza kila kitu, huyo albino Paul Scholes hana kitu
leo nimekujua kumbe wewe ni ABU, chochote kinachohusiana na Man U kwako ni kibaya.

sababu unaipenda sana Barcelona ndio maana unazi umekuzidi humpendi babu shule, sababu Akiwemo tu Kwenye kikosi Barca wanautafuta. Fainali zote mbili na nusu fainali moja.

midfield zote kubwa Ulaya kuanzia wale ambao tumebishana juzi kina Xavi na Zidane, uje pirlo na wengineo wanakiri ni midfield mgumu zaidi kucheza against,

scholes anaonekana ana magoli na assist ndogo sababu si kazi yake, Man u wakicheza assist zinatokea kwa wings na magoli kwa strikers, man u walikuwa wakicheza na strikers wawili kipindi chake.

lampard na Gerrard kwa vipindi tofauti wamecheza kama namba 10 nyuma ya striker hivyo lazima wawe na stats nzuri za magoli na Assist.

njoo kwenye interception, tackling, long pass, short pass, through pass, chance creation etc uone wanalinganishika kivipi?
 
Sasa kama wanafanya kazi tofauti why mnawalinganisha.
Basi mchukue scholes ashindanishwe na akina makelele
 

Scholes alikuwa kiungo mzuri kuliko Xavi, Gerrard, Lampard or Pirlo. Lakini Manchester Utd and England hawakumtumia vizuri.

 
Scholes alikuwa kiungo mzuri kuliko Xavi, Gerrard, Lampard or Pirlo. Lakini Manchester Utd and England hawakumtumia vizuri.

Nani pirlo.. hhhmm, sidhani kwa hilo, sawa namkubali mjomba mashule lakin si kwa kupitiliza huko..
 
Huyo scholes naona kama alikuwa team player yupo hayupo. Hata wachezaji mwenzake walishindwa kumchagua kuwa mchezaji Bora wa msimu hata Mara moja.??? Why ??? He was just an average player
Hata timu Bora za ulaya Ni Gerrard na lampard tu
Wewe unaumwa wewe
 
AiSe msijaribu kufananisha izo takataka zenu na King Lampard ..katika viungo bora Ulaya akitoka Iniesta anafata Lampard Frank. Uyo Gerrald alikuwa na mengi sana ya kujifunza kwa King Lampard ..scholes alikuwa na bahati tu ya kufunga zile gemu muhim ambazo zinaweza kubadil upepo wa ligi au uefa..

Ila Lampard ndo King waoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…