leo nimekujua kumbe wewe ni ABU, chochote kinachohusiana na Man U kwako ni kibaya.
sababu unaipenda sana Barcelona ndio maana unazi umekuzidi humpendi babu shule, sababu Akiwemo tu Kwenye kikosi Barca wanautafuta. Fainali zote mbili na nusu fainali moja.
midfield zote kubwa Ulaya kuanzia wale ambao tumebishana juzi kina Xavi na Zidane, uje pirlo na wengineo wanakiri ni midfield mgumu zaidi kucheza against,
scholes anaonekana ana magoli na assist ndogo sababu si kazi yake, Man u wakicheza assist zinatokea kwa wings na magoli kwa strikers, man u walikuwa wakicheza na strikers wawili kipindi chake.
lampard na Gerrard kwa vipindi tofauti wamecheza kama namba 10 nyuma ya striker hivyo lazima wawe na stats nzuri za magoli na Assist.
njoo kwenye interception, tackling, long pass, short pass, through pass, chance creation etc uone wanalinganishika kivipi?