Lampard, Scholes na Gerrard ulimkubali yupi zaidi?

Man u ameingia fainal mbili uefa na barca na zote kapoteza ..na uyo Scholes akiwemo ...

Barca walipigwa nockout na Chelsea Lampard akiwemo ...

Barca alikuwa akikutana na Chelsea anapata tabu mara mbili zaid ya atavyokutana Man united au Arsenal ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iz statistics umezifanya wewe au watu kama wewe ndo wamezifanya mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Nusu fainali 2008 scholes alikuwepo na yeye ndio aliewatoa barca na shuti lake la mbali.
2. Fainali 2009 hakuanza babu shule
3. Fainali 2011 hakuanza babu shule

Angalia vizuri source zako.

2011 scholes anaingia kama sub alibadili mpira kabisa na wakawa barcelona wanautafuta. Si maneno yangu bali xavi mwenyewe alikiri ni midfiled mgumu kucheza against.

2008

2011
Hii ndio perfomance ya 2011 hizo dakika chache za mwisho utaona, hizo pasi ndefu na jinsi alivyo control midfield.
 
Mkuu nadhani ni Giggs ndo alifunga lile goli kwenye ile gemu ya sem final (ila sikumbuki vizuri
Schose alikuwa anafunga yale magoli muhimu ambayo yalokuwa yanabadili muelekeo mzima wa gemu ..iyo ndo sifa kubwa ya schose ..ila sjui ni kwanin hakumtumia sana na hata ukichek hakuwahi kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa clab had anaondoka Man u..

Ndio maan ni ngumu sana kumlinganisha na Frank Lampard ambaye dunia inamtambua Kwa mashuti na pasi zilizonyooka.. Ivyo kwangu mimi Paul Schose namfananisha na Ngolo Kante kwa sasa ..ila Lampard naona bado ana mengi ya kujifunza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We humjui paul scholes, kuanzia kwenye jina mpaka kusema goli la semi final vs barca alifunga Giggs.
Paul scholes his touch, vision ,timing etc was classy.
Ukipata nafasi jaribu kupitia video zake,

Paul scholes ni mmojawapo wa four man u players ( Cantona, Giggs na Ronaldo), ambao SAF anaamini ndio wachezaji pekee aliowafundisha wanadeserve title ya WORLD CLASS player.

Ila sasa hata kama humjui paul scholes hivi unawezaje kucompare na Ng'olo kante?
Jaman haya si ni matusi makubwa.

Paul scholes na zile long passes aise!

Sent using simu mbovu
 
Kwa nafasi zao kila mmoja hakuna wa kubeza hapo.. Steven, Paul na Frank ni kati ya middle ya rank ya dunia waliopata kutokea england.
Huwezi kumrank mkabaji anaechukua mipira kutoka nyuma na mtu anaeanzia kati kwenda mbele..
Ieleweke tu nawaheshimu sana hawa jamaa kwa nafasi zao, hakuna mbovu hapo wala wa kumzidi mwenzie.
 
Kipimo chako ni Barca dhidi ya United sio?.. Mbona husemi amechukua UEFA 2 anawazidi Chelsea na Arsenal na EPL nyingi kuliko Chelsea, EPL ambayo Steven hajui inafananaje?
Au ndio kusema nao walikuwa hawashiriki?..
 
Lile goli alifunga Paul..
Ukisema dunia inamtambua Lampard kuliko Paul utakuwa unachekesha.
Sitaki kusema nani bora ,hawa jamaa nawaheshimu wote kwa ujumla wao.. Paul ana uefa 2, frank 1.. Epl kama zote
Yaani ile class 1998 alikuwemo, sijui FRANK alikuwa na uwezo gani muda huo na alikuwa timu gani.
 
Scholes kumrank na Kante sio matusi kaka ,bali ni ujinga kabisa.
Ukimuuliza kivipi? Au kwa lipi anakimbia.
 
Apa tunaangalia uwezo wa mchezaji binafsi ..Lampard kaja chelsea wakati huo Man united ilikuwa tayari inawika ..

Wote ni viungo wazuri lakini kiukweli Lampard anahitaji heshima yake ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeeka na video ni scholes.
 
Wacha Unazi wewe ...tofauti ya Ngolo Kante na Paul scholes ni ipi? Eka pembeni ushabiki leta fact apa ...

Uyo scholes hakuwahi kuwa hata mchezaji bora wa clab ..hachilia mbali mchezaji bora Epl..

Uyo scholes kwanini Fargie hakumtumia kwenye fainali mbili alizokutana na Barca? Scholes ni kiungo bora ulaya aliyewahi kutokea lakini hakufikia level na Lampard ..na huo ndo ukweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apa tunaangalia uwezo wa mchezaji binafsi ..Lampard kaja chelsea wakati huo Man united ilikuwa tayari inawika ..

Wote ni viungo wazuri lakini kiukweli Lampard anahitaji heshima yake ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ikumbukwe kuna kipindi Lampard na Gerrard walikuwa wakicheza kama Namba 10, nyuma ya striker hivyo kuonekana wanafunga sana Magoli na kutoa pasi.
 
Kipimo chako ni Barca dhidi ya United sio?.. Mbona husemi amechukua UEFA 2 anawazidi Chelsea na Arsenal na EPL nyingi kuliko Chelsea, EPL ambayo Steven hajui inafananaje?
Au ndio kusema nao walikuwa hawashiriki?..
Tusema Scholes alikuwa kiungo mkabaji ...sasa ana tofauti gani na Kante Ngolo kwa sasa? Pengine Kante kamzidi zaidi..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact!
 
Apa tunaangalia uwezo wa mchezaji binafsi ..Lampard kaja chelsea wakati huo Man united ilikuwa tayari inawika ..

Wote ni viungo wazuri lakini kiukweli Lampard anahitaji heshima yake ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa inawika bila wachezaji?.. Frank ana heshima yake kwa kuipa nn chelsea ambacho Paul hakuipa utd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…