Lamu and Bagamoyo Ports Progress

Lamu and Bagamoyo Ports Progress

No, it's Kenyans inferiority complex because of THIS
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 506406
everything else in that website shows Kenya beating TZ particularly in GDP, percapita income, infrastructure....etc..so no its seperiority complex..Kenya is globally renowned...TZ hata haijulikani...
 
Pamoja na majisifu yao level zao ndio sie TZ. Huwezi kukuta Bolton akijifananisha na real madrid, lazima awatafute kina portsmouth bana.
stupid idiot...how can u compare Kenya to a backward country like TZ..usifananishe Kenya na upuzi
 
everything else in that website shows Kenya beating TZ particularly in GDP, percapita income, infrastructure....etc..so no its seperiority complex..Kenya is globally renowned...TZ hata haijulikani...
Good u accepted that, then Kindly answer me, why Bigger GDP where's 50% Kenyans live in extreme poverty?
 
stupid idiot...how can u compare Kenya to a backward country like TZ..usifananishe Kenya na upuzi
Then how are you comparing a project which has started to that which has not? Who is an idiot now. 😀
 
stupid idiot...how can u compare Kenya to a backward country like TZ..usifananishe Kenya na upuzi
Nenda kafie mbele mtu usie na land, kwa sababu land yote mmeuza kwa foreigners! Land ndiyo utajiri wa mtu, huna kazi ya kufanya ndiyo maana uko mitaandaoni kujifanya kujua lugha ya utumwani! Afanalek, unafikiri kwa nini wa SA waligoma kujifunza lugha ya mtu wa pink! Grow up you piece of whatever! Masikini mkubwa usiye na mbele wala nyuma! Wewe jay456watt! Kibaraka wa watu wa pink!
 
Hawa wakenya Mashuleni wanafundishwa Ujinga, 50% wakenya wanaishi kwenye ufukara wa Kutupwa halafu anafurahia eti ana GDP kubwa!
 
Jamaa ndio amejidhihirisha kama wao ni wajinga wa kutupwa, eti Tusifananishe kenya na upuuzi (TZ) mleta mada kaja kufananisha kenya na huo wanaoita upuuzi, kutwa wanakaa wanajifananisha na watz, kazi kukaa a ku compare Tz na Ke afu leo anathubutu kuniita idiot, siku zote nawatizama tu na majigambo yao wakijisifia wasomi wameendelea, wasomi wanaobaguana, wasomi wanaojipendekeza, wasomi wanajifananisha na TZ!! Watulie tu wakenya, vichwa vinawauma kwa watz mana kila wanachofanya wanawatizama waTz....
 
Jitu zima hovyo kabisa na lazima anakaa kwenye ma slams nyumba ya mabox, afanalek walahi!
 
Jamaa ndio amejidhihirisha kama wao ni wajinga wa kutupwa, eti Tusifananishe kenya na upuuzi (TZ) mleta mada kaja kufananisha kenya na huo wanaoita upuuzi, kutwa wanakaa wanajifananisha na watz, kazi kukaa a ku compare Tz na Ke afu leo anathubutu kuniita idiot, siku zote nawatizama tu na majigambo yao wakijisifia wasomi wameendelea, wasomi wanaobaguana, wasomi wanaojipendekeza, wasomi wanajifananisha na TZ!! Watulie tu wakenya, vichwa vinawauma kwa watz mana kila wanachofanya wanawatizama waTz....
Well said! Alafu hilo ni linchi la rich get richer and poor get poorer! Hilo jitu haliwezi kufika popote yeye na kizazi chake wameliwa tangu zamani sana na ma foreigners wa kihindi na watu wa rangi ya pink! Maisha yao hayo majitu ni ku mark time tu! Wapuuzi kweli kweli!
 
Nafikiri heading yako ingetaja Lamu na Mtwara kwa sababu ukiacha Dar bandari iliyo kwenye mipango ya upanuzi ni Mtwara a.k.a Gas City

Mipango ya Bagamoyo tulishazika na tukasahau
Wewe umelala tu ndugu yangu! Ndio maana tz hatutokaa tukaendekea kamwe.
Serikali inajitahidi sana sana kutoa fulsa hats mpaka nchi za nje ss tumebweteka kazi kuilaume serikali na kuandika ujinga badala ya kuchangamkia.
Hata ilivyosainiwa mikataba us ujenzi hatujui!!!
 
Well said! Alafu hilo ni linchi la rich get richer and poor get poorer! Hilo jitu haliwezi kufika popote yeye na kizazi chake wameliwa tangu zamani sana na ma foreigners wa kihindi na watu wa rangi ya pink! Maisha yao hayo majitu ni ku mark time tu! Wapuuzi kweli kweli!
😀 ndio mabepari walivo bana, rich gets richer poor gets poorer. Nchi imejaa ma slums kisha wanakuja kujisifia, mi ata sioni cha kujisifia kutoka kwa hawa jamaa wizi. Wanajeshi wanaiba ndani ya Mall wakati wa majanga, they need to learn to have discipline first sio kuja kulia lia apa. Yaani tukio lile limeonesha kama wao ni njaa tu. Mara sijui waje haapa wajisifie wamenunua helicopter sijui ngapi, faida yake nini ikiwa walinda nchi wanawaibia hao hao wananchi watafutao riziki? Pathetic people kwa kweli 😀 mi nawatizamaga tu na sifa za kijinga walizonazo cha maana hawana.
 
Afu kutwa kujifanananisha na TZ kisha eti linatoka likenya linakuja kuiita Tanzania upuuzi, sasa amewahi kuona wapi mwenye akili akijibishana na mwenda wazimu? 😀
 
Mbona wakenya wenzangu mnapoteza muda majibizano na akili punguani toka tanganyika!!! wahenga walinena don't argue with a fool, nobody gonna differentiate whose thick headed fellow is!! just keep off their juvenile arguments and lets photos talk!!!
Lamu port model

17554413_1335833929841721_3957628484959808734_n.jpg

18010334_1335834356508345_818115242020384739_n.jpg

18009989_1335834079841706_2044312644091008526_n.jpg

18057859_1335834173175030_3549303174023490700_n.jpg

17990688_1335834266508354_804320085100696032_n.jpg

construction

18341895_1344919572272510_2479219041611957453_n.jpg

18118799_10154421991697344_8119572350545859466_n.jpg

18118973_10154421991847344_4850282374201708176_n.jpg

qDMeF2x.jpg

__________________
 
Afu kutwa kujifanananisha na TZ kisha eti linatoka likenya linakuja kuiita Tanzania upuuzi, sasa amewahi kuona wapi mwenye akili akijibishana na mwenda wazimu? 😀
Hahahaha
 
😀 ndio mabepari walivo bana, rich gets richer poor gets poorer. Nchi imejaa ma slums kisha wanakuja kujisifia, mi ata sioni cha kujisifia kutoka kwa hawa jamaa wizi. Wanajeshi wanaiba ndani ya Mall wakati wa majanga, they need to learn to have discipline first sio kuja kulia lia apa. Yaani tukio lile limeonesha kama wao ni njaa tu. Mara sijui waje haapa wajisifie wamenunua helicopter sijui ngapi, faida yake nini ikiwa walinda nchi wanawaibia hao hao wananchi watafutao riziki? Pathetic people kwa kweli 😀 mi nawatizamaga tu na sifa za kijinga walizonazo cha maana hawana.
Hahahaha well said walahi!
 
Back
Top Bottom