eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hehehehe Haya ndio matatizo ya kuishi vitongoji vya Dar na kutobahatika kutoka ukajionee dunia...
Tafuta mtu akuelimishe kwamba bahari Hindi sio pekee dunia hii, kunayo inayoitwa Atlantic na kuna mataifa yanayohesabika ndani ya Afrika ya kati ambayo yanaitumia bahari ya Atlantic.
Sijui elimu hapo Tanzania mnakwenda kufundishwa nini haswa.
Aha haaa
So for that povu, you have shown the level of ignorance you possess. Mention any port that is located inside central Afrika. Mind you, your title is boasting lamu to beat any port in east and central Afrika. You didn't (anywhere) referred the Atlantic ports. Even the article itself has uttered nothing about western Afrika ports.