BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 2,882
- 2,263
Shida yenu kubwa nchi nzima hampendi kusoma,lamu itafanya biashara na nani? ethopia? somalia?
central corridor ndo njia bora reli(sgr) roads air ,meli(mwanza port) pia dar port ipo u/c kina+mlango wa babdari+gati kubwa dryport za kumwaga pia tz imezungukwa na nchi nyingi zaidi yenu geographic position inatubeba mnajua
dar and tanga port ikikamilika LAMU MOMBASA zitakua useless
nyie jengeni kwa kuiga tuko pembeni tnawachora tuu
Jamaa hapo juu ameexplain Kila kitu wewe ni kujirudia tena,
Punguzeni ujinga