LAMU TOWN, KENYA

Lamu inaweza ikakaribia kigoma
Kigoma Town




Lazima uhare kwa kila uzi unaofunguliwa hapa, kama kigoma ni nzuri sana kama unavyo sema mbona usiifungulie uzi wake? Wewe uko na low esteem sana. ..
 
Lazima uhare kwa kila uzi unaofunguliwa hapa, kama kigoma ni nzuri sana kama unavyo sema mbona usiifungulie uzi wake? Wewe uko na low esteem sana. ..
Wewe mwenye kuhemka nakuonesha ka mji kadoooooogo kabisa ka kigoma kanafanana na hicho kimji cha Lamu

Hebu jichagulie hapa unataka mji gani kufananisha na Lamu?

  1. Arusha
  2. Dar es Salaam
  3. Dodoma
  4. Geita
  5. Iringa
  6. Kagera
  7. Katavi
  8. Kigoma
  9. Kilimanjaro
  10. Lindi
  11. Manyara
  12. Mara
  13. Mbeya
  14. Morogoro
  15. Mtwara
  16. Mwanza
  17. Njombe
  18. Pwani
  19. Rukwa
  20. Ruvuma
  21. Shinyanga
  22. Simiyu
  23. Singida
  24. Songwe
  25. Tabora
  26. Tanga
  27. Unguja
  28. Pemba
 
hatua kwa hatua serikali za gatuzi zinaendeleza ujenzi wa taifa mashinani


sehemu ya hospitali ya lamu







well lit beachfront....taa kutumia miele ya jua izani ya serikali ya county



 
mtambo mdogo huko Siyu Lamu unaosafisha maji ya bahari Hindi na kuyafanya matamu na salamu kunywa. mirandi mingine miwili ipo njiani kufuliwa na serikali za kauti za mombasa na lamu mtawalia! This why i love kenyas new constitution. watu kwa mara ya kwanza can do what they want with their money!



 


 
Nilishawahi kufika lamu zamani... kitu nlichokiona sijapata jibu hadi leo.

Nilikuta kisima kimejaa gold fishes, akisha kila nyumba nlokwenda chooni kuna kijihodhi cha maji ndani yake pia kuna gold fishes, sana sana nlikuwa nakuta wale samaki wenye sharubu.... sijafahamu inamaanisha nini. mwenye ujuzi tafadhali!
 




unafamu bwana ukipata nywele usoni iwe ni kidevu, masharubu lazima uzipatie heshima yake. swali lako ni la kitoto kusema kwa uchache. hapo Dar na kwingineko tz nyumba za mabanda zimejaa pomoni!!!! wewe mwenyewe labda banda unalo!!!

hapa ni tz! ebu kaka funga safari mpaka sehemu za kilimanjaro kamulize huyu mtoto nyumba yao ni nini!! utapata kichapo cha ubwa maswali ya kitoto utayakoma kwenda mbele!!!



Afisa Ustawi wa Jamii wilayani Ngara Musa Niyonsaba Balagondoza akiwa nyumbani kwa Babake na Anthony.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…