Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima uhare kwa kila uzi unaofunguliwa hapa, kama kigoma ni nzuri sana kama unavyo sema mbona usiifungulie uzi wake? Wewe uko na low esteem sana. ..Lamu inaweza ikakaribia kigoma
Kigoma Town
![]()
![]()
![]()
Wewe mwenye kuhemka nakuonesha ka mji kadoooooogo kabisa ka kigoma kanafanana na hicho kimji cha LamuLazima uhare kwa kila uzi unaofunguliwa hapa, kama kigoma ni nzuri sana kama unavyo sema mbona usiifungulie uzi wake? Wewe uko na low esteem sana. ..
mtambo mdogo huko Siyu Lamu unaosafisha maji ya bahari Hindi na kuyafanya matamu na salamu kunywa. mirandi mingine miwili ipo njiani kufuliwa na serikali za kauti za mombasa na lamu mtawalia! This why i love kenyas new constitution. watu kwa mara ya kwanza can do what they want with their money!
![]()
![]()
![]()
![]()
To you every post is a competition... You are very insecure.Lamu inaweza ikakaribia kigoma
Kigoma Town
![]()
![]()
![]()