hiyo Tesla ataiendeshea wapi.. sio kwa ilivyo chini hivyo.. napenda gari za chini, ila uchini wa hiyo wamekomeshaIko ki Model S kwa gharama za units hizi si utafirisika.
Hakuna maskini mkuu.. umaskini ni kuchagua tu humu JF[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani karibia kila Mwana JF ni tajiri
We ile Lamborghini yako ipo juu kwani?hiyo Tesla ataiendeshea wapi.. sio kwa ilivyo chini hivyo.. napenda gari za chini, ila uchini wa hiyo wamekomesha
umesahau kuwa ile SUV mkuu.. kitu urus kileWe ile Lamborghini yako ipo juu kwani?
Shikmoo. Nilidhani hivi vi Huracan.umesahau kuwa ile SUV mkuu.. kitu urus kile
yako si uli honga, acha sie wabahiri tule vitu vizuriShikmoo. Nilidhani hivi vi Huracan.
Believe me inatumia poa sana, unaweza ata unga ule umeme wa punguzo ukawa unacharg uko mara moja kwa mwez, kimahesab inachukua roughly 120kwh(units) kujaa ambazo zitakupeleka 600km, na sisi binadam wa mizunguko mifupi inatosha kabisa mwez mzimaIko ki Model S kwa gharama za units hizi si utafirisika.
Utajir ni mipango, tofaut ya tajir na maskin ni matumiz mabaya ya fedha, ukiangalia yule tajir wa simba nae ni bahiri tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani karibia kila Mwana JF ni tajiri
hiyo gari ina 1000HP hapa kwenda hutofaidii sanaApo ilikuwa nurburgring sehem ambapo wanapima performance ya gari, ko iliwekwa chini kwa ajil ya aerodynamics
Tesla ni nyokooo, 1000HP hicho kidude????hiyo gari ina 1000HP hapa kwenda hutofaidii sana
πππ tena ni 1020HP mkuu, jamaa anatengeza ndege zinazo tembea roadTesla ni nyokooo, 1000HP hicho kidude????
Teknolojia ya magari ya umeme, itakuja na mengi sana. Nimeona Toyota wanaproject yao ya magari ya umeme pia. Wanatumia 70 series. Mzigo ukifanikiwa kabla ya 2025 unaweza ingizwa sokoni.πππ tena ni 1020HP mkuu, jamaa anatengeza ndege zinazo tembea road
Magari ya umeme haya milio ya kibabe kabisa. Kuna gari niliendesha ina umeme mwingi, ujue unagonga mtu kabisa haisikiki hata kidogo.. yani mtu anashangaa ipo gotini au nyuma yakeTeknolojia ya magari ya umeme, itakuja na mengi sana. Nimeona Toyota wanaproject yao ya magari ya umeme pia. Wanatumia 70 series. Mzigo ukifanikiwa kabla ya 2025 unaweza ingizwa sokoni.