Land Cruiser 300; gari matata sana

Land Cruiser 300; gari matata sana

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,718
Reaction score
3,471
.
 

Attachments

  • 2022_toyota_land_cruiser_revealed_1.jpg
    2022_toyota_land_cruiser_revealed_1.jpg
    98 KB · Views: 16
  • 2021-tesla-model-s-plaid-at-the-nrburgring--photo-credits-baldauf-sb-medien_100800586_h.jpg
    2021-tesla-model-s-plaid-at-the-nrburgring--photo-credits-baldauf-sb-medien_100800586_h.jpg
    69.5 KB · Views: 15
Iko ki Model S kwa gharama za units hizi si utafirisika.
Believe me inatumia poa sana, unaweza ata unga ule umeme wa punguzo ukawa unacharg uko mara moja kwa mwez, kimahesab inachukua roughly 120kwh(units) kujaa ambazo zitakupeleka 600km, na sisi binadam wa mizunguko mifupi inatosha kabisa mwez mzima
 
Teknolojia ya magari ya umeme, itakuja na mengi sana. Nimeona Toyota wanaproject yao ya magari ya umeme pia. Wanatumia 70 series. Mzigo ukifanikiwa kabla ya 2025 unaweza ingizwa sokoni.
Magari ya umeme haya milio ya kibabe kabisa. Kuna gari niliendesha ina umeme mwingi, ujue unagonga mtu kabisa haisikiki hata kidogo.. yani mtu anashangaa ipo gotini au nyuma yake
 
Tesla ni nyokooo, 1000HP hicho kidude????
Bei yake ni ya kawaida tena inaweza kuwa chin zaid ya cruiser, myb ushuru ukipunguza, but tatizo reliability uku cruiser ni mkataba
 
Back
Top Bottom