Land Cruiser GX 105 series

Kuna mzee nafahamu alishawahi kununua kwa 6M la serikali upande wa mahakama.
Akalipia kodi akabandika namba DX mwaka jana hiyo mkuu.
Bado liko makini kabisa yani.
Yapo vizuri ukipata la Serikali, ubalozini ama NGOs unaweza kununua kwa Bei nzuri sana
 
Wadau hizi gari unaweza kupata kwa bei gani kuanzia mwaka 2002 mpaka 2007.
Nimewahi kusikia kwamba unaweza kupata kwa bei nzuri kwenye auctions za NGOs ama Serikalini.
Mwenye kujua naomba info zaidi.
Shukrani

View attachment 2125023
Huku nilipo zinanunuliwa kwenye hio minada zikiwa mbovu then tunarekebisha garage, kama uko serious njoo inbox nikupe connection
 
Nimeshuhudia hzi 100 na 105 series offroad nyingi sio zakibabe sana.
Nimeona unataka kuchukua patrol td42,nakushauri temana nazo zote hizo uende kwenye Lc 80 series ya engine ya 1hz manual diesel dundo ambalo hutojutia kua nalo na kukupa faida kibao!zipo mkononi kwa bei nafuu mno.
Au Lc 70 series yoyote iwe 76,78/79 ya 1hz engine mkataba mno,popote kambi,spea kibao,reliability yakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…