Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
- Thread starter
- #21
Nimeshuhudia hzi 100 na 105 series offroad nyingi sio zakibabe sana.
Nimeona unataka kuchukua patrol td42,nakushauri temana nazo zote hizo uende kwenye Lc 80 series ya engine ya 1hz manual diesel dundo ambalo hutojutia kua nalo na kukupa faida kibao!zipo mkononi kwa bei nafuu mno.
Au Lc 70 series yoyote iwe 76,78/79 ya 1hz engine mkataba mno,popote kambi,spea kibao,reliability yakutosha
105 series haina tofauti na 80 series. Zinashare chassis moja.
Budget ya Mil 25 naweza kupata ya mwaka 2004 - 2007