Land cruiser ipi mjapani alitulia kati ya hizi

Mkuu umekuja na series ila naomba uje na model maana series zinaweza kuwa na engine ya aina moja mfano 1hdt au 1HKZ au 1HKJ sasa hizi model ndizo zinaweza kujua gari ni ipi nzuri.

Mkuu unamaanisha HDJ na HZJ nadhani, sio kama ulivyokusudia ambapo chassis ya HDJ ina engine ya 1HDT na chassis ya HDJ ina 1HZ engine ndani yake.

Pia kama ulimaanisha engine ya 1KZ ni sawa pia coz inakaa kwenye LC Prado, Surf na Hiace ambapo chassis ya prado itakua na prefix ya KZJ na Surf KZN.

By the way it is a good recommendation, maybe aliona atajaza vitu vingi sana kwenye uzi.
 
Not really Kampuni ni moja ila matoleo yake ya mwaka mmoja uki compare yana vionjo tofauti na kimoja ulishakitaja which is Transmition.
hapo sawa, na mazur ni yale yanapelekwa kwa wenzetu kuna passo for us market nimeipenda bure upand wa injin
 
hapo sawa, na mazur ni yale yanapelekwa kwa wenzetu kuna passo for us market nimeipenda bure upand wa injin

Kiukweli wenzetu wanapendelewa sana, passo za huku kwetu chai sana aisee. Kuna watu wanabisha humu kwamba Toyota hawatofautishi Quality na Features za magari yetu huku Africa na Wenzetu US na EU. Wanadai they r all the same

Thank u kwa kuliona hili
 
Hii ni Model gani.,nimeifuma mahali
 

Attachments

  • 1464695291414.jpg
    56.9 KB · Views: 122
Best LC ni series 80,ikifuatiwa na series 100... 100 imetengenezwa kwa uwezo karibu sawa na 80 na ina vitu vya kisasa.
 
Hii yangu 200 series 2016 iko vizuri ki aina πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Kweli kuna kavitz ka ulaya kanaitwa Yaris kana speed 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…