Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,465
Mkuu umekuja na series ila naomba uje na model maana series zinaweza kuwa na engine ya aina moja mfano 1hdt au 1HKZ au 1HKJ sasa hizi model ndizo zinaweza kujua gari ni ipi nzuri.
Mkuu unamaanisha HDJ na HZJ nadhani, sio kama ulivyokusudia ambapo chassis ya HDJ ina engine ya 1HDT na chassis ya HDJ ina 1HZ engine ndani yake.
Pia kama ulimaanisha engine ya 1KZ ni sawa pia coz inakaa kwenye LC Prado, Surf na Hiace ambapo chassis ya prado itakua na prefix ya KZJ na Surf KZN.
By the way it is a good recommendation, maybe aliona atajaza vitu vingi sana kwenye uzi.