Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ushuru wake sasa!Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.
Chuma inakuja na:-
- Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system Torque: App. 406 Nm Transmission: 8 speed automatic D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.
0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000
Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP
Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.
Chuma inakuja na:-
- Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system Torque: App. 406 Nm Transmission: 8 speed automatic D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.
0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000
Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP
Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
Vipi hiyo mikono aliyonyoosha mjapani Iko wapiHuyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.
Chuma inakuja na:-
- Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system Torque: App. 406 Nm Transmission: 8 speed automatic D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.
0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000
Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP
Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
Hivi hizi EV/hybrid bongo zipo? Kuna vituo vya kuchajia magari?Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.
Chuma inakuja na:-
- Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system Torque: App. 406 Nm Transmission: 8 speed automatic D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.
0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000
Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP
Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
Nilichoipendea BYD ni fuel consumption, inanusa yaan
Kwa misele ya mjini, Iko makini sana
Wenzetu wakiona kitu kipya basi wana changamkia fursaHivi hizi EV/hybrid bongo zipo? Kuna vituo vya kuchajia magari?
Hivi hizi EV/hybrid bongo zipo? Kuna vituo vya kuchajia magari?
Ipo siku mtaona matangazo kwenye garage
Zimeandikwa tunatengeneza magari ya umeme
Vijana kasomeeni ufundi, unalipa
Zikifikia nyingi na kuwa kawaida basi ni fursa nzuri sana kuichangamkiaHii ni fursa hapo mbeleni sio mbali, ni kama vile ilivyokuwa fundi wa umeme wa magari miaka ya nyuma hapo
Sijui veta ipi bongo wanafundisha matengenezo ya EV?Ipo siku mtaona matangazo kwenye garage
Zimeandikwa tunatengeneza magari ya umeme
Vijana kasomeeni ufundi, unalipa
Nafikiri tuta transition kwenda huko japo naona kama tunaenda slow sanaWenzetu wakiona kitu kipya basi wana changamkia fursa
Ulaya tayari kuna mafundi wa magari ya umeme na pia kuna makampuni ukiishiwa chaji kama hakuna sehemu ya kuchaji unawaita wanakuja fasta
Sisi bado sana View attachment 3310223
Daslamu huko hamna?Bongo zipo EV charging stations niliona Dodoma
Sema uzuri wa BYD chuma zake sio full EV ni PHEV unaweza ukatembelea mkojo wa Mwarabu kiroho safi
Zikifikia nyingi na kuwa kawaida basi ni fursa nzuri sana kuichangamkia
Kusema la haki sio kuwa nabeza lakini ukiangalia youtube kwa upande wetuNafikiri tuta transition kwenda huko japo naona kama tunaenda slow sana
Daslamu huko hamna?
Bongo mchawi TRAUshuru wake sasa!