Land Cruiser VXR V8 yasalimu amri kwa BYD Leopard 5

Land Cruiser VXR V8 yasalimu amri kwa BYD Leopard 5

Kusema la haki sio kuwa nabeza lakini ukiangalia youtube kwa upande wetu
Utaona treni ya umeme ambayo sijui ikoje mpaka sasa

Na vichekesho vya kijinga wakiwemo kina kina Nanga mpaka wakichokonoa pua na kutoa tongo wakiwa live na kina mweusi basi

Angalia wenzetu hata UG na Kenya kuna mengi sana vijana wanafanya kama mifugo, kilimo na hata makampuni

Fursa kwa wabongo hawazioni bali kulalamika tu
Ukiongelea fursa wanakuambia mtaji baba
Ila bado sana kwa maendeleo bongo
Tuko nyuma mno kwa ukiritimba na kubaniana fursa pia kunachangia
Bureaucracy ndio nyingi bongo. Mchakato tu wa mtu kufungua biashara unajikuta unamaliza nusu mtaji.
 
Bureaucracy ndio nyingi bongo. Mchakato tu wa mtu kufungua biashara unajikuta unamaliza nusu mtaji.
Ili upate kibali cha kufungua biashara au manufacturing unalazimika upitie taasisi kama zote

Wakati hizo taasisi zoote zingeweza kufanya kazi wakiwa taasisi moja kuepusha hiyo bureucracy isiyo na maana yoyote

Ni upigaji tu
​
 
Inasikitisha sana halafu wahusika wanaotengeneza hizo complications ndio wanawaambia vijana jiajirini huku wao ni waajiriwa wezi
 
Kitu kimoja nawakubali wachina wanapiga kazi kinouma na hawakati tamaa kirahisi , nenda kawaone wachina kwenye biashara mbalimbali US utanipa jibu lako
Yeah exactly, kwa Wachina kuchapa kazi ni sehemu ya utamaduni wao sio wanaume sio wanawake wote wanachapa kazi haswa

Watanzania wengi kwenye kampuni za ujenzi wanashindwa kwenda sawa na kasi ya Wachina kwa sababu ya uvivu

Na sio Watanzania tu sehemu nyingi duniani wanasema Wachina wanapiga kazi kwelikweli

Ukitembele kwenye megaproject za construction za China huwa kazi hazisimami. Kuna wanaoingia hadi usiku kupiga kazi

Kazi hazisimami
​
 
Wenzetu wakiona kitu kipya basi wana changamkia fursa

Ulaya tayari kuna mafundi wa magari ya umeme na pia kuna makampuni ukiishiwa chaji kama hakuna sehemu ya kuchaji unawaita wanakuja fasta

Sisi bado sana View attachment 3310223
Huo wa kuwasha gropu tu bado tunanesa nesa ndio tuweze wa kucharg gari??............kwa maprofesa wako hawa kama kina mruma..............anakwenda kwenye kesi ya inchi anakwambia ajajiandaa why ulisafiri kutoka afrika mpaka ulaya??ajabu
 
Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.

Chuma inakuja na:-
​
  • Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
  • P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system​
  • Torque: App. 406 Nm​
  • Transmission: 8 speed automatic​
  • D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.​

0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000

Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP

Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
​
Mchina apewe dunia yake👿
 
Ni nini kitakachoirudisha huko?
Nchi zinaanza kuondoa mitaji yao kutoka huko

Ameanza USA

Next europe

Watu wanamwona mzee trump anakurupuka lkn yupo kwenye ushauri wa usalama wa Taifa lake

In ten years nchi nyingi za africa zitakuwa zinazalisha bidhaa nyingi hataitaji kuagiza bidhaa nyingi kutoka china

China ajiandae kisailolojia
 
Kwani wewe huzioni, lifespan yake ni fupi mno...
Kuna yale yanaitwa Sullivan wanayo sana polisi duh body zake zinachoka utafikiri ni za fibre. Dunia inapokwenda mchina atazidi sana pata soko maana nchi nyingi zitafilisika na zitajikuta zinalazimika nunua vya mchina sababu ya bei ndogo ,hii ndoa ya Karimjee Jivanjee Toyota na serikali very soon inavunjika na kutakuwa na ndoa kati muuzaji wa magari ya kichina na serikali maana serikali itabidi ibane matumizi na hivyo talazimika kununua magari ya mchina. Kama ambavyo serikali miradi ya ujenzi inalazimika kumpa mchina na magari takuwa hivyohivyo na walivyo watoaji wa rushwa nono wale wale ni suala la muda tu. Naiona Home » Kifaru Motors Tanzania na wauzaji wengine wa magari ya kichina wakiipumulia Toyota Tanzania kisogoni
 
Kwa toyota bado sana mkuu, huyu jamaa kashika soko la magari kwa sasa duniani na vyuma vyake vipo durable sio kama hao wachina. FAW, HOHO, HOWO nk ni miaka mitatu tu yanaanza kupumulia mirija, wakati MITSUBISHI anauza gari za 90s huko na zinapiga kazi kama kawaida. Ukija kwa SCANIA ndio usiseme, kuanzia trucks mpaka buses.

Ni kweli mchina atafanya vizuri kwa sababu soko lake ni la bei rahisi ila hana quality.
 
AI Overview

+1
The 2025 BYD Leopard 5, which has a 2.0L engine, has a top speed of 180 km/h (112 mph). It can also accelerate from 0 to 100 km/h (0 to 62 mph) in 6.5 seconds.

Tatizo BYD haina speed

LC 300 kitu ina 260 km/hr

Usifanye mchezo na Landcruiser hasa LC 300, pia body ya BYD sio kabisa, kumbuka unauza gari pia kwa shape ya body, sasa BYD body ni kama Ponte iliyochangamka
 
Nchi zinaanza kuondoa mitaji yao kutoka huko

Ameanza USA

Next europe

Watu wanamwona mzee trump anakurupuka lkn yupo kwenye ushauri wa usalama wa Taifa lake

In ten years nchi nyingi za africa zitakuwa zinazalisha bidhaa nyingi hataitaji kuagiza bidhaa nyingi kutoka china

China ajiandae kisailolojia
Kuna uzi mmoja niliona ulisema uliwahi kuwa kondakta wa daladala​
 
Kwa toyota bado sana mkuu, huyu jamaa kashika soko la magari kwa sasa duniani na vyuma vyake vipo durable sio kama hao wachina. FAW, HOHO, HOWO nk ni miaka mitatu tu yanaanza kupumulia mirija, wakati MITSUBISHI anauza gari za 90s huko na zinapiga kazi kama kawaida. Ukija kwa SCANIA ndio usiseme, kuanzia trucks mpaka buses.

Ni kweli mchina atafanya vizuri kwa sababu soko lake ni la bei rahisi ila hana quality.
Kaka kwa viongozi hawa wa ccm wanaopenda rushwa very soon toyota anaachwa sio sababu ya ubora hapana sababu ya bei chee, rushwa pia na itakuwa ni masharti watakayopewa na mchina pindi watakapoomba mikopo maana mchina now kapigwa pini soko la US na Ulaya kwa hiyo atalazimisha magari yake kuuzika nchi anazozipa mikopo kama umenotice now polisi wanatumia pick up za mchina tokea kampuni ya Great wall motors (GWM) na kwenye ule mkutano wa issue za energy wa africa uliofanyika Dar ndo yalikuwa magari ya polisi so kidogokidogo mchina anajipenyeza
 
Huo wa kuwasha gropu tu bado tunanesa nesa ndio tuweze wa kucharg gari??............kwa maprofesa wako hawa kama kina mruma..............anakwenda kwenye kesi ya inchi anakwambia ajajiandaa why ulisafiri kutoka afrika mpaka ulaya??ajabu
Eti hajajiandaa
Ndio wataalamu wetu hao
 
Kwa sasa China imekuwa na supply chain ya hali ya juu na high tech katika EV

Hata kampuni kubwa za Ulaya kama Mercedes Benz, BMW, VW, Stellantis wameanza kuwa na partnership na Chinese firms na suplliers ili wa access Chinese technologies kwenye EVs

Dunia inaenda kwa kasi sana leo Ulaya wanaomba joint venture na Mchina kwenye kuunda magari ya umeme
​
Yaana Starmer hajui afanye nini
Anasema tutafanya biashara na wote China na US
Ila Trump anamwambia chagua moja mzee kawa kama chizi
China hawatanii kwenye technology
Mwaka 2015 kulikuwa na wanafunzi kwenye vyuo vikuu vya 🇬🇧 135,000
Wanachota elimu wanaenda kuyafanyia kazi
 
Kijana kasoma SUA lakini hana passion na alichosomea iwe ni kilimo au ufugaji anataka akae ofisini

Hii ni hasara kwa taifa na wamenunuliwa na pikipiki kabisa wawafikie wakulima huko mashambani

Wao wanagawana tu pesa za mafuta na TOs wa halmashauri
​
Ni jambo la kusikitisha sana.
Walipewa mpaka mashamba wakayakimbia

Vijana wa kibongo wanasema kazi ya ufugaji ni ya pensioners daa
Wakati majirani ndio wanaona fursa za kuwatoa kimaisha
Kuna jamaa nimeona kaingiza $13,000 shambani kuanzia visima, solar na irrigation system kote

Anafuga sana na kawekeza kwenye kilimo
Sisi vijana wanabet hata nauli hana pumbavu
 
Back
Top Bottom